JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 1,889
- 1,127
Ok, nani aingilie kati kama si Serikali, na hapa Tanzania unaweza ukataja hili li serikali bila kutaja CCM.
Pwambaf
Ujinga wenu na wananchi wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, nani aingilie kati kama si Serikali, na hapa Tanzania unaweza ukataja hili li serikali bila kutaja CCM.
Pwambaf
Mkuu mi nimefanya kazi rufiji mwaka 2008 hadi 2009. Idadi ya Madrasatul inazidi idadi ya shule za msingi
Tunahitaji arguments kama izo.Thumbs Up!Naomba kukuuuliza maswali kadhaa:
je una dada au mama?;
- je una ndugu, hususani wa kike, anayeishi vijijini kabisa?
- je umewahi kusikia madhara ya kubakwa (madhara ya kimwili na kisaikolojia)?;
- je unahisi madhara ya kudhalilishwa na mtoto au mdogo wako kijinsia?
"WAALIMU TUNA HALI NGUMU, JAPO TUNA UMUHIMU".
Sijutii kwa kusomea Ualimu, ila nasikitika kwa kuwa jamii haithamini nafasi ya Mwalimu katika kujenga mustakabali wa taifa.
au utawasikia wakimlaumu nyerere kwa kuididimiza mikoa ya kusini...hawa jamaa hata gesi inayopatikana huko haitawaletea maendeleo...!Mwisho wa Kidato cha Nne hawa hawa wataanza kumlaumu Dr. Joyce Ndalichako kwamba anawapendelea baadhi ya watahiniwa. Kitendo cha kutaka ndoa kwa nguvu tena kwa waalimu wao ni UTOVU WA NIDHAMU.
Haya mambo yanafanyika nchi gani? Chama gani kinatawala? Viongozi wa chama hicho wanashughulika na nini zaidi ya wanachi kama hawa walimu?
Chama kwani ndio kinashughulikia maswala ya waalimu?
Akili yako haina akili
Mijitu mingine bwana hovyo kabisa!!!!! Mada umeianza vizuri lakini umeimalizi vibaya. Kwani hao wanafunzi wanaowabaka waalimu ni wanachama wa CCM???? We vipi??? Au umelewa? Kama laana ni ya serikali nakuuliza swali moja. Kati ya waalimu na wanafunzi nani ni part ya serikali? Yaani nani anaonekana kuwa anaiwakilisha serikali?
ok, nani aingilie kati kama si serikali, na hapa tanzania unaweza ukataja hili li serikali bila kutaja ccm.
Pwambaf