Walimu wakimbia shule kwa kubakwa na wanafunzi

Walimu wakimbia shule kwa kubakwa na wanafunzi

Mkuu mi nimefanya kazi rufiji mwaka 2008 hadi 2009. Idadi ya Madrasatul inazidi idadi ya shule za msingi

Along side makaburi yaliyotapakaa kila kona. Hapa ma4 pale 8, kwa huyu 7, kwa yule 13 pamoja na tuvibanda twa kufanyia matambiko
 
Huu upande wa kusini mwa nchi yetu unamataizo makubwa....ukianzia mbagala kwenda mpaka mtwara kumejaa shida kibao..mijitu imekalia mambo ya ajabu ajabu..kichwani mtu kajitwika mambo kibao, elimu inapewa asilimia 10 ngono asilimia 90..sasa ni saa ngapi wataachana na umaskini? bila kujikomboa kielimu? huku wilaya moja tu ya masasi ndiyo inaafadhali na ukiangalia kwa undani utakuta imekaliwa na wakristo wengi kidogo hawa wa masasi kidogo wanakamwanga kaelimu..Hao walimu waliobakwa na wanafunzi naamini watapangiwa vituo vingine tena nashauri hiyo shule inayohusika ifungwe hata miezi nane ili hao wazazi wanaoshabikia ubakaji
waone umuhimu wa shule
 
Kweli humu kuna wanafiki Ebu pitia jukwaa la Siasa kuna thread inazungumzia Elimu ya viongozi wa CDM uone jinsi watu walivyo-comment then uje ucheki comment za huu uzi ndio utajua watu ni DUMB NUTS!
 
Naomba kukuuuliza maswali kadhaa:
je una dada au mama?;
- je una ndugu, hususani wa kike, anayeishi vijijini kabisa?
- je umewahi kusikia madhara ya kubakwa (madhara ya kimwili na kisaikolojia)?;
- je unahisi madhara ya kudhalilishwa na mtoto au mdogo wako kijinsia?
"WAALIMU TUNA HALI NGUMU, JAPO TUNA UMUHIMU".
Sijutii kwa kusomea Ualimu, ila nasikitika kwa kuwa jamii haithamini nafasi ya Mwalimu katika kujenga mustakabali wa taifa.
Tunahitaji arguments kama izo.Thumbs Up!
 
Haya matokeo ya kampeni ya kutowaadhibu watoto, subiri sasa wawaadhibu Walimu wetu Wapendwa ili nyie mpate sifa
 
Nakumbuka kuna kitabu nimesahau,Tittle,bt Author ni SOYINKA',.....the Future is More worse'.Huku niliko jana Mkurungezi wa Manispaa,DC,&OCD,Walikuwa wanasuluisha kesi ya Wanakijiji kutishia Walimu wa shule ya Sekondari-Kichema.Kuwa wasilime eneo lolote la shule.Wamechimba kabuli ikitokea mwl.amelima atazikwa humo wakiungwa mkono na mhe.Diwani wa kata yao.Unategemea nn hapo?Tusubiri NECTA RESULTS ZA MWAKA HUU.Kazi kazi kazi kweli kweli....
 
Mimi ni mwanachama wa CCM ila nakubali kuwa serikali ina makosa hapa.
Ila, hao walimu waliripoti polisi? ... na ukiripoti polisi, make sure una nakala ya ripoti yako ili isiposhughulikiwa uonyeshe kwa ngazi ya juu au hata hadhara.

Ningekuwa OCD wa Rufiji ningewaambia manjagu watembeze kibano kuanzia baba na watoo wote wa kiume zaidi ya miaka kumi na tano ..... ooh bila kusahau mafenesi, chapa vyote hivyo.

Mbona huwa nasikia raha sana kumfukuzia mdada mpaka akubali? Raha gani unapata kumuabuse mwanamke?
So prehistoric!!!!!
 
Google, ww ndio uko kama vile ulivyowaita wanzako. Your problem is that you cannot sit down and relate things philosophically. Poor leadership leads to all these shameful acts. With a strong leadership this cannot happen. Never!!!
 
Mwisho wa Kidato cha Nne hawa hawa wataanza kumlaumu Dr. Joyce Ndalichako kwamba anawapendelea baadhi ya watahiniwa. Kitendo cha kutaka ndoa kwa nguvu tena kwa waalimu wao ni UTOVU WA NIDHAMU.
au utawasikia wakimlaumu nyerere kwa kuididimiza mikoa ya kusini...hawa jamaa hata gesi inayopatikana huko haitawaletea maendeleo...!
 
Pole zao nyingi, sijui kama wabakaji walitumia condom vinginevyo ni mbaya zaidi.
 
Haya mambo yanafanyika nchi gani? Chama gani kinatawala? Viongozi wa chama hicho wanashughulika na nini zaidi ya wanachi kama hawa walimu?

Chama kwani ndio kinashughulikia maswala ya waalimu?
Akili yako haina akili
 
Mijitu mingine bwana hovyo kabisa!!!!! Mada umeianza vizuri lakini umeimalizi vibaya. Kwani hao wanafunzi wanaowabaka waalimu ni wanachama wa CCM???? We vipi??? Au umelewa? Kama laana ni ya serikali nakuuliza swali moja. Kati ya waalimu na wanafunzi nani ni part ya serikali? Yaani nani anaonekana kuwa anaiwakilisha serikali?

Wanafunzi Wa Bakaji ndo wamebeba image ya ccm NA SERIKALI YAKE, Uko na another swali?
 
ok, nani aingilie kati kama si serikali, na hapa tanzania unaweza ukataja hili li serikali bila kutaja ccm.
Pwambaf

hebu tumia akili wewe, usilete uchama kwenye majanga ya kitaifa. Ndo nyie mnaochochea mgawanyiko wa watu kichama, kwaiyo ulivyosema hivyo unataka ccm ndo waende kutatua hilo tatizo? Ukiambiwa mabadiliko yanaanzia kwako ni katika maendeleo kwa ujumla sio katika kisiasa tu? Mnaturudisha nyuma na mawazo yenu finyu. Tumechioka na huo uchama. Fikiri kabla hujaropoka!!!!!!!!!!
 
poleni sana walimu na tasnia nzima ya walimu. ni wazi kuwa walimu ni watu muhimu ulimwenguni kote ingawa hapa TZ umuhimu wenu watu wanaudharau kiukweli inauma xana hata kama mm co mwalimu, tuweke itikadi zetu za kidini na kisiasa en then tuangalie jinsi ya kusolve tatizo, haina haja wala sioni mantiki kama si kukashifiana kama kwenye swala kama hili mtu anaanza kuongelea imani za watu au siasa. let the truth alive. tuache udini , siasa na ukabila coz kuna watu washanza ooh ingekuwa kaskazini, sasa kaskazin imeingiaje hapa? jenga nchi yako toa mchango sasa wa manufaa co kukashfiana:mad2:
 
Back
Top Bottom