Walimu wanadhalilika kwa mikopo na kumuaibisha Rais Samia ambaye ni mwajiri wao

Walimu wanadhalilika kwa mikopo na kumuaibisha Rais Samia ambaye ni mwajiri wao

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi.

Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa.

Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
 
Wakikopa wakumbuke kulipa.

Himizeni watu kulipa madeni, sio Julia wahurumiwe
 
Walimu madeni yao ni himilivu na ndio maana wanakopesheka.
 
Walimu NI watumishi walio Chini ya halmashaur.

Mwajir wa mwalimu ni Mkurugenzi.

Vip serikali yenyewe haina madeni?
 
Back
Top Bottom