M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 May 23, 2024 #1 Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi. Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa. Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi. Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa. Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 May 23, 2024 #2 Wakikopa wakumbuke kulipa. Himizeni watu kulipa madeni, sio Julia wahurumiwe
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,836 Reaction score 6,303 May 23, 2024 #3 Walimu madeni yao ni himilivu na ndio maana wanakopesheka.
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 May 23, 2024 #4 Walimu NI watumishi walio Chini ya halmashaur. Mwajir wa mwalimu ni Mkurugenzi. Vip serikali yenyewe haina madeni?
Walimu NI watumishi walio Chini ya halmashaur. Mwajir wa mwalimu ni Mkurugenzi. Vip serikali yenyewe haina madeni?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 23, 2024 #5 Wakidhalilika au kuteswa na hiyo mikopo, ni wao. Sidhani kama utapata madhara yoyote yale.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 May 23, 2024 #6 Wanakopesheka, na kujengea wapendwa wao