Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry.
Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na mwaka mmoja ndo tunasomea ualimu.
Sasa nimemaliza advance mwaka huu 2024 na nimepata division one ya points 6 nikiwa na B ya physics, A ya chemistry na C ya education na naendelea na mwaka wa tatu mpaka mwezi wa tano 2025 ndo namaliza kabisa hiyo program.
Nataka niende chuo kikuu kusomea masuala ya mechatronics engineering and material engineering pale ATC, ila kuna walimu wangu wananishauri nikasome BSc with education pale udsm.
Wakidai kuwa masomo ya hapo ni sawa na ya hapa kwetu hiyo itanifanya nipate alama za juu chuoni na kunifanya niperfom katika level za juu na hata kupata kazi hapo chuoni kama lecture.