Walimu wangu wananishauri nikasome BSc with Wducation UDSM. Nifanye nini?

Willeboy

Member
Joined
Dec 16, 2024
Posts
5
Reaction score
9
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry.

Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na mwaka mmoja ndo tunasomea ualimu.

Sasa nimemaliza advance mwaka huu 2024 na nimepata division one ya points 6 nikiwa na B ya physics, A ya chemistry na C ya education na naendelea na mwaka wa tatu mpaka mwezi wa tano 2025 ndo namaliza kabisa hiyo program.

Nataka niende chuo kikuu kusomea masuala ya mechatronics engineering and material engineering pale ATC, ila kuna walimu wangu wananishauri nikasome BSc with education pale udsm.

Wakidai kuwa masomo ya hapo ni sawa na ya hapa kwetu hiyo itanifanya nipate alama za juu chuoni na kunifanya niperfom katika level za juu na hata kupata kazi hapo chuoni kama lecture.
 
Maliza kwanza hiyo Diploma ya Ualimu, ukimaliza pambani kupata kazi. Kusoma Bsc of Education haina uhakika wa kupata ajira acha kuwa lecturer (Tutorial Assistant).
Sawa ndo namlizia hiyo diploma mwezi wa tano, vp kuwa lecture ni ngumu?
 
Pindua meza, nenda kasome mechanical au electrical engineering kama unaweza hisabati....
Hutakosa cha kufanya hata ualimu wa VETA ni bora kuliko wa CWT
 
Elimu uchwara ya ccm imenipotezea muda wangu, nimekuja kukutana na vijana wadogo wanajua tu kusoma na kuandika kwa kuunga unga ila wanamiliki migodi na biashara kubwa kubwa. Tangu hapo sina imani tena na ccm
 
Pindua meza, nenda kasome mechanical au electrical engineering kama unaweza hisabati....
Hutakosa cha kufanya hata ualimu wa VETA ni bora kuliko wa CWT
Kiaje maana mimi sijasoma pure mathematics
 
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry.

Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na mwaka mmoja ndo tunasomea ualimu.

Sasa nimemaliza advance mwaka huu 2024 na nimepata division one ya points 6 nikiwa na B ya physics, A ya chemistry na C ya education na naendelea na mwaka wa tatu mpaka mwezi wa tano 2025 ndo namaliza kabisa hiyo program.

Nataka niende chuo kikuu kusomea masuala ya mechatronics engineering and material engineering pale ATC, ila kuna walimu wangu wananishauri nikasome BSc with education pale udsm.

Wakidai kuwa masomo ya hapo ni sawa na ya hapa kwetu hiyo itanifanya nipate alama za juu chuoni na kunifanya niperfom katika level za juu na hata kupata kazi hapo chuoni kama lecture.
Mimi binafsi sikushauri kwenda kusoma ualimu wa kawaida ila unaweza kubaki kwenye fani ya ukufunzi kwa sababu tayari una msingi wa masomo ya sayansi na ualimu kwa ujumla
Kivipi?---Unaweza kusomea ualimu/ukufunzi wa ufundi (VOCATIONAL EDUCATION) Katika fani yeyote Ile ya kihandisi, iwe electronics, electric, mechanics n.k. Hii program inaitwa "vocational education" inapatikana Chuo cha MUST Mbeya ambayo inaweza kukufanya uwe mkufunzi wa fani husika ambayo utaichagua kama nilivozitaja hapo juu. Kwa maelezo zaidi unaweza kupitia prospectus ya chuo husika kwenye website yao.
Hii itakupa uwanja mpana wa ajira kwani unaweza kufanya kazi kama mkufunzi Katika vyuo mbalimbali vya kati na vile vya ufundi "VETA".
 
Back
Top Bottom