Walimu wapigana mbele ya wanafunzi

Walimu wapigana mbele ya wanafunzi

Maticha wachache wasio na nidhamu kwao ni kawaida tu. unamkutamwingine kabla ya kwenda shule kajitupia bange au kiroba.... Huyo siyo wakawaida .
 
Ni Kweli walimu hao wamepigana wakigombana kuhusu michango ya shule, ni shule ya kata pekee yenye michango mingi hapa Tanzania, michango kwa mwaka inafika zaidi 250000 /= afu ni ya day

Mchango mdogo sana.... Hata mboga ya Tibaijuka haununui.
 
Hii Mbona KAWAIDA sana! Ilitokea Shule MOJA hapa Shinyanga, katika Hao Walimu mmoja alikuwa Na masifa halafu ndo alidundwa akawa akipita wanafunzi wanaambizana tumuite Mwalimu fulani! BASI yeye mpoole! Anyway vikombe kamati I vinagongana seuse binadamu
 
Back
Top Bottom