Madege
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 530
- 109
Hao ndio walimu wa siku hizi wanaovalia suruali chini ya makalio.
acha kufanya generalisation. kwani walimu wote wanavaa suruali? na wakike jeee. think twice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio walimu wa siku hizi wanaovalia suruali chini ya makalio.
Walimu wa siku hizi ni mataahira, hawana maadili kabisa
Ni Kweli walimu hao wamepigana wakigombana kuhusu michango ya shule, ni shule ya kata pekee yenye michango mingi hapa Tanzania, michango kwa mwaka inafika zaidi 250000 /= afu ni ya day
Walimu wa siku hizi ni mataahira, hawana maadili kabisa
Hao ndio walimu wa siku hizi wanaovalia suruali chini ya makalio.
Hao ndio walimu wa siku hizi wanaovalia suruali chini ya makalio.
hao watakua maCCM tu