Walimu waliopata ajira mpya Halmashauli ya kilwa wamelazimika kuendelea na kwaresma katika kipindi hiki cha Pasaka kutokana na uzembe na dharau za kutojali wafanyakazi zinazifanywa na ofisi ya elimu . Mpaka sasa hawajalipwa mshahara wao ambao waliutegemea kwa ajiri ya sikukuu