Walimu wapya halmashauri ya kilwa walia njaa

Walimu wapya halmashauri ya kilwa walia njaa

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,725
Reaction score
1,190
Walimu waliopata ajira mpya Halmashauli ya kilwa wamelazimika kuendelea na kwaresma katika kipindi hiki cha Pasaka kutokana na uzembe na dharau za kutojali wafanyakazi zinazifanywa na ofisi ya elimu . Mpaka sasa hawajalipwa mshahara wao ambao waliutegemea kwa ajiri ya sikukuu
 
sio kilwa pekee ata bahi na chamwino!
alafu wanamtaka mwalimu huyo huyo aingie darasan afundishe na wanafunzi waelewe!
kweli kwa mtaji huu 2013 div0 si zitakua 89%?!
 
Serikali ya ccm haina lengo la dhati la kutatua matatizo ya elimu Tanzania zaidi ya kuunda tume ambazo hazina tija.
 
Huu ni uzembe tu wa Watumishi wachache hasa Maafisa Utumishi wanaojifanya Miungu watu. Badala ya kulalamika hapa awfungieni milango wakae humo ofisini hata siku 3.
 
Hiki ndicho kinachowafanya walio wengi kutokuwa na wito wa kutumikia tena Sekta nyeti kama hii.
 
Nachelea kusema ni udhaifu wa ccm kwani pesa zilishapelekwa halmashauri ila kutokana na dharau za viongozi na kutowajali walimu wameamua kuwalipa baada ya sikukuu yaani jumatano
 
Back
Top Bottom