well said!post zitoke kwanza jaman.mshiko n baadae
pia wawe na cheti cha kuzaliwa. Na pass ports kama nne za rangi. Wawe na akaunti kuepuka kero.
nadhani walimu wamekusikia
yap ndugu kachukueni mie nimeingia dom leo kesho naanza mchakato wa kuchukua transcript.
Kachukueni transcripts jamani msije mkapishana na gari la mshahara la mwezi wa nne. Linarudi ndio unakwenda.
- Academic Certificates - Form 4, Form 6 kwanza - Vitahitajika ,
- Vyeti vya vyuo vitafuata baada ya kuwa vimetoka vitatumika kama viambatanisho ujazapo fomu za TSD ili kupata TSD Number.
- Passport size, andaa za kutosha maana maeneo mengine huduma za picha huwa ni shida.
- Kimsingi huwa hakuna usumbufu wowote sababu taarifa zako huwa tayari Mkurugenzi anazo.
poa wamekupanga wapi chifu?