@makaura
MAJIBU.....
Nitafurahi mkifuata ushauri wangu. fungua ac NMB bank branch iwe jirani na halmashauri/ manisipaa ulikopangiwa, hii itakusaidia endapo kutatokea tatzo kwenye mshahara wako inakua rahsi kuprocess na mara nyingi ikitokea tatzo unaambiwa kalete bank statement ama nenda kaulize benki.
kama ipo jirani na ofisi ya halmashhauri ako inakua simple kusolvika haraka.
lingine mishahara nmb inawahi 4 days before other banks, lingine ukipewa pesa ya kujikimu ni rahsi cheque kua procesed mapema within a day hii inatokanna na cheque hyo kua from nmb to nmb but kama unapeleka other banks na upo ktk mkoa ambao BOT haipo cheque hyo itachukua more than 8days.
lingine mikopo na interest rate zao ni simple na ndogo respectvelly . Kumbuka kufungua CHAPCHAP ac kwani ina zero charges na kufungua ni ndani ya nusu saa unakua na atm yako.
Pia kama una ac in other banks bado utalipwa stahki zako zote but utapata changamoto hzo hapo juu. Ikitokea unataka kubadlisha ac inawezekana pia
but inahakikisha umemtarifu hr wa LAWSON