Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

situational perception mkuu, detail zote wanazo na wanacho ---- ni confirmation tu.

Uongo ofisi ya mkurugenz wanakuwa wanaletewa majina ya waliopangwa katka halmashaur yake kuhusu kusema wanadata zako zote si kwel na kama hutapeleka transript yenye matokeo ya semisiter zote MWL mshahara wa mwezi wa nne utauskia kwa wenzako na isitoshe watakupokea na kukupangia kituo cha kazi ila watakuambia uende chuon ukalete matokeo yako ila ndg hulazimishi wewe nenda ila utamkumbuka alyeanzisha huu uzi
 
Kachukueni transcripts jamani msije mkapishana na gari la mshahara la mwezi wa nne. Linarudi ndio unakwenda.

Huwezi kuingizwa kwenye payroll kama huna vyeti vya kidato cha 4 na 6,cheti cha kuzaliwa na matokeo ya semisiter zote 3
 
Huwezi kuingizwa kwenye payroll kama huna vyeti vya kidato cha 4 na 6,cheti cha kuzaliwa na matokeo ya semisiter zote 3

mi nahangaika apa nitumiwe,mbishi mwache atayaona meng
 
Togwa ikichacha, mpishi matatani, haya rudini vyuoni kuchukua details za kujipatia ajira
 
Hongereni kwa mliopangiwa/ watakaopangiwa kazi.
kama una swali lolote kuhusu taratibu za kuripoti kazini uliza hapa nikujibu pia member watanisadia pale ntakaposhindwa ama pale nkapokosekana hewani.
karibuni walimu kwa maswali!!
 
wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot
kwanza ndipo ufungue Account?
 
@makaura

MAJIBU.....

Nitafurahi mkifuata ushauri wangu. fungua ac NMB bank branch iwe jirani na halmashauri/ manisipaa ulikopangiwa, hii itakusaidia endapo kutatokea tatzo kwenye mshahara wako inakua rahsi kuprocess na mara nyingi ikitokea tatzo unaambiwa kalete bank statement ama nenda kaulize benki.

kama ipo jirani na ofisi ya halmashhauri ako inakua simple kusolvika haraka.

lingine mishahara nmb inawahi 4 days before other banks, lingine ukipewa pesa ya kujikimu ni rahsi cheque kua procesed mapema within a day hii inatokanna na cheque hyo kua from nmb to nmb but kama unapeleka other banks na upo ktk mkoa ambao BOT haipo cheque hyo itachukua more than 8days.

lingine mikopo na interest rate zao ni simple na ndogo respectvelly . Kumbuka kufungua CHAPCHAP ac kwani ina zero charges na kufungua ni ndani ya nusu saa unakua na atm yako.

Pia kama una ac in other banks bado utalipwa stahki zako zote but utapata changamoto hzo hapo juu. Ikitokea unataka kubadlisha ac inawezekana pia
but inahakikisha umemtarifu hr wa LAWSON
 
Makaura;

usikubali kufungua a/c NMB,utajuta! Benki hii ina urasimu wa ajabu ajabu„folen zisizo na kichwa wala miguu ;ATM zao zipo slow sana na muda mwingi hukata network hivyo huleta usumbufu kwa wateja!
NAKUSHAURI NENDA CRDB wapo vizuri sana hutajutia
 
Last edited by a moderator:
Nauliza. Mimi kitambulisho changu ni cha uzanzibari mkaazi. Lakin kime expired hakiwez ku2mika mpaka nipatiwe chengne. Na cna kitambulisho chochote ata cha kura wala nin. Je ntafunguliwaje akaunt nikifika?
 
Nauliza. Mimi kitambulisho changu ni cha uzanzibari mkaazi. Lakin kime expired hakiwez ku2mika mpaka nipatiwe chengne. Na cna kitambulisho chochote ata cha kura wala nin. Je ntafunguliwaje akaunt nikifika?

kuna barua za utambulisho zipo kwa mkurugenz wako,omba hiyo barua ijaze vizur gongewa muhur hapo kwa mkurugenz nenda fungua a/C
 
je kwa aliye na account kabisa anaweza kuitumia hiyo? au lazima afungue mpya?
 
nasikia watakao ripoti cheti cha kuzaluwa ni muhimu(original) sasa rafiki yangu(wa kike) katika harakati za hapa na pale alikipotrza ilanalibaki na nakala zake hii inaweza kuwa kikwazo kwake ktk kupokelewa.huko atakako kuwa kapangiwa?
 
Back
Top Bottom