Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

Hahaaaa. Watu bhan yan unategemea uingiziwe pesa wakat hujakamilisha usajili.! Sahau nchi yenyew ndio hii
 
Siku nitakayofika huko site nishapanga kuwa nitavaa hivi,,, kwani nguo zingine tayari nishazipanga kwenye bag langu.
 
Attachments

  • 1429650476577.jpg
    69.1 KB · Views: 543
Hii sasa .... ,,,,,,, mmmmh Utumishi wa umma, ualimu deal utanashati hadi raha
 
chichimizi una mzuka balaa utaashanga unapelekwa nyakitonto kasulu kigoma
 
Last edited by a moderator:
Tunatakiwa tujivunie kama taifa kwa kuwa na vijana wenye moyo wa kizalendo kama chichimizi hongera sana, swali langu lipo kwa walimu mnaosubiria ajira je mmeshajiandaa kuona majina yakitoka kwa awamu kama ilivyokuwa kwa wenzenu mwakajana??
 
I'm 2014/15 tusijaribu kupeana maswali ya kuwakatisha tamaa walimu kwani wakipata ajira wataweza kuikomboa jamii ambazo zilihitaji wapate walimu kwa watoto wao.hawa ni watu muhimu katika jamii ,haifai kukatiswa moyo kwa maswali ambao huwenda tunaweza kusema hayana hisia za kibinaadam.:focus::focus::focus:
 
Tunatakiwa tujivunie kama taifa kwa kuwa na vijana wenye moyo wa kizalendo kama chichimizi hongera sana, swali langu lipo kwa walimu mnaosubiria ajira je mmeshajiandaa kuona majina yakitoka kwa awamu kama ilivyokuwa kwa wenzenu mwakajana??
Swali zuri sana mkuu, mana walimu wana mizuka na shauku sana.
 
Tunatakiwa tujivunie kama taifa kwa kuwa na vijana wenye moyo wa kizalendo kama chichimizi hongera sana, swali langu lipo kwa walimu mnaosubiria ajira je mmeshajiandaa kuona majina yakitoka kwa awamu kama ilivyokuwa kwa wenzenu mwakajana??

Sio lazma ucomment kila uzi...
 
Upo soft hv! utaweza kupiga kiboko ww? utakutana na manunda huko ohooo!!!
 
Jana nilifanikiwa kupata majibu ya hii hoja ya kwanini mwaka jana waliachwa.
Maelezo zaidi PM
 
Utashangaa unapelekwa kishimundu huko na huo mtokelezeo wako utakuwa unausikilzia kwa wengine,,,daah!!!! kazi ya ualimu bhaana ni sheedah,,
 
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo hivyo housegirl/Houseboy wako ulomuacha home naye kashika Remote zote za DSTV, Deki, TV na StarTimes, Kawasha feni kaisogelea, nje kuna taa zinawaka, anampasia nguo Boifrendi wake muuza mkaa, anakunywa maji yako ya Kilimanjaro afu anarudishia ya bombani, maziwa anatumia anaongeza maji, na kama hujafunga chumba chako, ujue sasa hivi amejilaza kwenye kitanda chako na anajaribisha nguo zako.
Yes we si una fujo za mjini uko online, sasa na wenzio wana fujo za kijijini off-line home kwako. Ngoma Droo kudadeki!=))
 
chichimizi;

Mkuu umenifanya nicheke kwa ghafla na kwa kupaza sauti.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…