chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Nadhani utakuaa ushanieelewaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri sana mkuu, mana walimu wana mizuka na shauku sana.Tunatakiwa tujivunie kama taifa kwa kuwa na vijana wenye moyo wa kizalendo kama chichimizi hongera sana, swali langu lipo kwa walimu mnaosubiria ajira je mmeshajiandaa kuona majina yakitoka kwa awamu kama ilivyokuwa kwa wenzenu mwakajana??
Tunatakiwa tujivunie kama taifa kwa kuwa na vijana wenye moyo wa kizalendo kama chichimizi hongera sana, swali langu lipo kwa walimu mnaosubiria ajira je mmeshajiandaa kuona majina yakitoka kwa awamu kama ilivyokuwa kwa wenzenu mwakajana??
Upo soft hv! utaweza kupiga kiboko ww? utakutana na manunda huko ohooo!!!
Utashangaa unapelekwa kishimundu huko na huo mtokelezeo wako utakuwa unausikilzia kwa wengine,,,daah!!!! kazi ya ualimu bhaana ni sheedah,,