Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

Mambo vipi wana JF, mwenzenu nimekwama. Naitaji kuomba nafasi ha kusomea ualim lakini mila nikiingia kwenye system za appl. Categories ninazoziona no NTN6 na NTN7. mm Nina cheti tu cha 4m4. He nifanyeje. Nisaidieni niapply
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaa.. Mkuu umenifanya nicheke sana nahs hawa wakwangu wanafanyaga hvyoo maanake.
 
Umesahau kuolewa na watendaji (ke) lakini usisahau vijiji vingi vina umeme wa muhongo
 
Hahahaa niko tayari kulitumikiaaa Taifa mahali popote pale

yan kiongoz mim ni zaid yko nilishajiandaa kisaikolojia long tym kuhusu hapo mjini mbwembwe tu hpa. Kwanz field zang ztee nlipgia mbali

1.Mpanda.
2.Kigoma.
sasa hapo kuna nn walete tu hta Burundi kwa Wabembe hko mim ntaenda tu.
 
Na kuoa wanakijiji pindi unapovuka maji mlangon au jivu
 
Utakapoliona jina lako na sehemu ulipangiwa, hakikisha kwamba:

1) Ndani ya siku 3 tayari umeshafungasha virago vyako kuelekea ulipopangiwa- hii itakusaidia kwenda kuyajua mazingira yako ya kituo cha kazi na jinsi utakavyopambana na changamoto za chaka.

2) Hakikisha umebeba vyeti halisi na wala sio photocopy- hii itakusaidia kuondoa usumbufu wa kukuingiza kwenye system ya mshahara maana nilishawaonaga walimu wengi pale baraza la mitihani (NECTA), wakiwa wanahangaika wakati wenzao wapo vituo vya kazi.

3) Hakikisha angalau una kianzio(pesa) ya kujikimu angalau ya siku 2 kuepuka usumbufu unaoweza kutokea halmashauri zenu- kuna walimu nilishawaonaga walienda kuomba kulala kwa mwenyekiti wa kijiji... Nasisitiza hasa kwa wadada mana hii huwaga ni advantage ya watu wengine kutaka kuwarubuni wadada walimu ili watoe papch.

4) Kwa wale wajasiriamali (entrepreneur) hakikisha unayasoma mazingira vizuri ili usije ukategemea mshahara pekee- nimewahi kuwaona walimu wakilalamika tarehe za mwanzo kuwa mshahara umekata.

5) Fanya kazi kwa bidii kuleta tija katika hili taifa kwa kuwa ualimu ni sawa na mapigo ya moyo ya taifa.

6) Achaneni na mambo ya mikopo wakati ndio kwanza hata mwaka hujamaliza sjui sacos, vicoba au hata mabenk makubwa. Nimewahi kuona walimu wakilia sana jamaa walikuja kusafisha chumba.

7) Chagueni mifuko ya kibima yenye makato nafuu, hapa unatakiwa uwe makini sana bila kukurupuka.

8) Changamoto ni nyingi sana ila naimani mlifundishwa vyuoni jinsi ya kukabiliana nazo, hii sio kwenye ualimu pekee bali kwenye kada zote.

9) Kujifunza kusave mshahara ni kitu muhimu sana ili kufikia malengo uliyojiwekea itashangaza kuona mwalimu umefanya kazi mwaka mzima bila kuwa na mradi wa nyongeza.

10) MWISHO NAWATAKIA WALIMU WOTE TARAJALI HERI NA MAFANIKIO MEMA KUELEKEA AJIRA MPYA.
 
mwalimu aliye kazini mwenye experience ya kupotelewa cheti naomba anijuze. Wakati wa kuripoti kuna haja ya kuwa na statement of results toka necta au zile nyaraka mbadala yaan(barua ya polis na mkuu wa shule na nakara ya tangazo kwenye gazeti la serikali). Natanguliza shukrani
 
revocare;

kama umepoteza cheti ndugu jitahidi kubeba kila nyaraka unayodhani itakuwa muhimu...
 
Last edited by a moderator:
Umeongea mambo ya Msingi sana naamin walengwa wamepata ktu kutoka kwako. Asante kwa mawazo yako kuntu.
 
Na naskia kuna baadhi ya watu wameshavujishiwa taarifa za maeneo waliyopangiwa duuh...hiii ndo Bongo Tz ....
 
Tatizo wanaochangia mada wengine hata si walimu taraji tizo ni wivu umewajaa ndo mana wanaongea ujinga tu mbna zikitoka ajira za kada nyingine hamtoi ushauri shda walimu ndo mnaona wanyonge au acheni fikra potovu, mtu hawezi kusoma miaka mutatu degree na asijielewe has lina pokuja suala la maisha sa sijui watoa mada wana lengo gani kwamba walimu ni form six leavers au? Acha ujinga wa fikra
 
Hivi ajira zenyewe zinatangazwa lini? Magazeti yalidai tar.24 wakati taarifa ya TAMISEMI inasema tar.25. Je, magazeti yalipata wapi habari hizo? Mwenye kujua lini zinatangazwa exactly atujuze.
 

hakuna haja ya kutukana. kwan ushauri huo ni mzur ila kama unaona wanakudharau wakati wa kuripoti usiende na vitu hivyo ndo utajua halmashauri zikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…