Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Lazima ufungue account mpya ya kupitishia mshahara
Kwani ya zamani mshahara hauwezi kupita kinachohitajika si account number tu mkuu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima ufungue account mpya ya kupitishia mshahara
Lazima ufungue account mpya ya kupitishia mshahara
TZS 630000 as gross.Mimi naomba kujua mwalimu wa degree anaanzia na mshahara kiasi gani basic na kiasi gani kinabaki ( take home) baada ya makato yote kukatwa
nasikia watakao ripoti cheti cha kuzaluwa ni muhimu(original) sasa rafiki yangu(wa kike) katika harakati za hapa na pale alikipotrza ilanalibaki na nakala zake hii inaweza kuwa kikwazo kwake ktk kupokelewa.huko atakako kuwa kapangiwa?
Makaura;
usikubali kufungua a/c NMB,utajuta! Benki hii ina urasimu wa ajabu ajabufolen zisizo na kichwa wala miguu ;ATM zao zipo slow sana na muda mwingi hukata network hivyo huleta usumbufu kwa wateja!
NAKUSHAURI NENDA CRDB wapo vizuri sana hutajutia
Nacomba kuuliza kuwa mnaporipoti mnatakiwa Kwanzaa kufika kwa mkurugenzi au kwa mkuu wa Shule,na Je pesa ya kujikimuv. Kwa shahada ni shl ngapi??
kwel ila hao wenyew wamezungumza kwamba safar hii itakuwa n tofauti yaan huo mwez unaoenda kuripoti basi mwisho wa mwez wake unaanza kuchukua mshahara
mkuu ualimu ndio una furahi hivi kweli tanzania kuna umaskini wa hali ya juu sana.
Vile vile kama mimi ni maskini sawa je wewe tajiri mbona baba yako hakufungulii kampuni ili akuhurumiee unavyozurura na bahasha za kaki mji mzima?
mimi maskini bt hakika mwisho wa mwezi may ntatiaa 518000 takoni wakati wewe bado unang'aaa sharubu tu kitaaaa,,,, vile vile kusimamia uchaguzi October inanihusu zote hizo pesa bado kuandikisha daftari la kudumu bado inanihusu.
SHALET hujielewi kabisa yani au wewe wazani mtu huzaliwa na utajiri??????