Walimu wapya tumesahaulika

Walimu wapya tumesahaulika

Teleza1

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
190
Reaction score
198
Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia muda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali.

Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati picha watu waliopangiwa miji mikubwa kama Dsm Arusha sijui wanaishije?

Serikali itukumbuke na maisha ni magumu sana huku.
 
Huku wanakula mishaara huu mwezi wa pili.Pole Mkuu.
 
ila wengine wamepata...sijjua shida kwako ni nn??
 
Back
Top Bottom