Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia muda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali.
Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati picha watu waliopangiwa miji mikubwa kama Dsm Arusha sijui wanaishije?
Serikali itukumbuke na maisha ni magumu sana huku.