Walimu wapya tumesahaulika

Walimu wapya tumesahaulika

Naimani mwezi huu wa tatu kazini mambo yatakuwa sawa by the way waajiriwa vijana wa nyakati hizi wanalia lia sana hili nasema bila kupepesa vijana talk talk too much, hakuna uvumilivu, uzalendo F, kujitolea negative, sheria za utumishi wa umma F. Vijana wengi ni wajuaji wa kila kitu kidogo kidogo and lastly they stand for nothing. Wengine wanavyeti Tu kichwani No Contents. Angalau ukikutana na kijana aliesoma kwa kutumia mitaala ya Cambrige wanasaidia kupunguza aibu hii ya vijana wasomi Zao la Shule za Kata na Elimu bureeeee bureee kabisa
 
Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia mda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali.

Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati picha watu waliopangiwa miji mikubwa kama Dsm Arusha sijui wanaishije?

Serikali itukumbuke na maisha ni magumu sana huku.
Ni Msimu wa Vumbi na Mafua makali.

Wear Mask.

Sanitize often.

Practice Social Distancing.

It helps a lot!

Achana na viporojo vya jonijo.
 
Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia mda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali.

Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati picha watu waliopangiwa miji mikubwa kama Dsm Arusha sijui wanaishije?

Serikali itukumbuke na maisha ni magumu sana huku.
Yani ww ndg yetu kitu cha kwanza shukuru tu umepata kazi kuna watu wamenalizs chuo 2014 na fursa hii bado hawajaipata wao wasemeje we piga kazi uhakika wa maisha unao hapo una dhamana tayari unaaminika hata ndgu yako ukimwambia aku busti kdgo hasiti akijua tayar una uhakika wa kurejesha we ganga ganga tu mambo yataenda acha kulialia unatuumiza sisi tunaongoja ile 500 hatujui nayo itatukuta vp ama nayo itatupita mbali sio mbaya japo tuna mambo mengine tunafanya tayr ww vuta subira kama ss tusio na tumaini tumevuta subira ww ndg yetu tayari umesaini mkataba wa kazi shida nn kopa maisha yaende
 
Acha upumbavu wako ficha hizo kende zako
 
Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia mda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali.

Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati picha watu waliopangiwa miji mikubwa kama Dsm Arusha sijui wanaishije?

Serikali itukumbuke na maisha ni magumu sana huku.
Kuna mwenzenu kwenye uzi mmoja huko anadai kapata mshahara mwezi huu
 
Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia mda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali.

Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati picha watu waliopangiwa miji mikubwa kama Dsm Arusha sijui wanaishije?

Serikali itukumbuke na maisha ni magumu sana huku.
Kabla ya kupewa ajira mlikuwa mnalalamika na sasa ajira mmepata mnaanza lawama zingine. Jifunzeni kuwa na roho ya kuridhika. Mishahara inaweza kuchelewa lakini lazima mtalipwa tu kwa maana ni haki yenu.

Jifunzeni uvumilivu na kuridhika ndio msingi mkubwa sana katika maisha.
 
Mhh bado? Ngoja nikaliangalie halafu kama utakosa na nwezi huu.un pm. Sriously
Hlamshauri gani? Mmekosa wote wa ajira mpya?
Kama uko jikoni naomba nikuulize kitu mkuu.
Hii issue ya ajira mpya kuanza na TGTS D3 watu wa science itaenda kwa wote hadi walio kazini na itaanza lini?
 
Nijuavyo mimi halmshauri zote wamepewa hela toka mwezi wa walio ajiriwa na ndiyo maana nauliza uko halmashauri gani?
Acha uongo mkuu nina washkaji zangu halmashuri tatu holaa Kongwa, Geita na Maswa. Hizo habari zako umezitoa wapi ? Siasa hadi kwenye Maisha ya Watu.
 
Huyu ni tapeli atakutapeli kuna mwalimu mmoja alishamtapeli kujifanya kwamba anakonectioni ni muongo muongo nanitapeli anashinda jamii forum kuwatapeli watu
 
Back
Top Bottom