Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Naimani mwezi huu wa tatu kazini mambo yatakuwa sawa by the way waajiriwa vijana wa nyakati hizi wanalia lia sana hili nasema bila kupepesa vijana talk talk too much, hakuna uvumilivu, uzalendo F, kujitolea negative, sheria za utumishi wa umma F. Vijana wengi ni wajuaji wa kila kitu kidogo kidogo and lastly they stand for nothing. Wengine wanavyeti Tu kichwani No Contents. Angalau ukikutana na kijana aliesoma kwa kutumia mitaala ya Cambrige wanasaidia kupunguza aibu hii ya vijana wasomi Zao la Shule za Kata na Elimu bureeeee bureee kabisa