<br />aisee hyo ni almost nchi nzima.ileje-mbeya ni kilio bado tunasubr report kwa ded
Walimu wa kike wajiandae kuvuliwa chup na kupewa kichapo...Walimu wapya walionza kazi mwishoni mwa mwezi wa pili wameanza kutaabika baada ya kukuta hamna majina yao kwenye Payrol ,huku wakurugenzi Wakiwakwepa kuwasaidi,habari nilizopata kutoka Wilayani zinasema mkurugenzi kawatolea nje kuwasaidia!Mwanzo wa malimbikizo na mizozo ndio huanzia hapa.
Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mi mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.
kAMA wewe ulifanikwa kuishi miezi yote basi wewe baba ako fisadi or jambazi mhata hapa kinondoni hakna ki2Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mu mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.
Wakati huo ulikuwa unakula kwa nani? Au isitoshe ulikuwa umewekwa ndani na jimama.Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mi mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.
hahahaa! Taifa la "tume"Serikali ya JK itaunda tume kuchunguza madai yenu kama kweli hamjalipwa na kwa nini mmecjelewa kulipwa.
mkuu,umepitia kwa makini sheria ya ajira/kazi ya tanzania?? Ujira/malipo ni haki ya msingi ya mtu na ilipwe kwa wakati stahiki (kwa mujibu wa mkataba). Katika hali kama hiyo,neno "wanapenda kulalamika" halina mashiko. Kama ulilipwa baada ya miezi 9,unataka kutuaminisha kuwa ulistahili malipo yako yalipwe kwa muda huo?? Wale ambao hawalipwi kwa muda "wakizungumza" ndiyo kulalamika?? Unataka kuwaaminisha wote wanaodai haki zao za malipo "wasilalamike",waendelee kufundisha?? Vipi kuhusu mahitaji yao ya msingi yanayotegemea "mshahara na masurufu" yatokayo na ajira yao ya ualimu?? Nayo yasubiri miezi 9 kama yako?? Umeamua kuitetea serikali,jenga hoja za msingi..Wakati huo ulikuwa unakula kwa nani? Au isitoshe ulikuwa umewekwa ndani na jimama.