Walimu wapya waanza kutaabika

Walimu wapya waanza kutaabika

KASSON

Senior Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
194
Reaction score
19
Walimu wapya walionza kazi mwishoni mwa mwezi wa pili wameanza kutaabika baada ya kukuta hamna majina yao kwenye Payrol ,huku wakurugenzi Wakiwakwepa kuwasaidi,habari nilizopata kutoka Wilayani zinasema mkurugenzi kawatolea nje kuwasaidia!Mwanzo wa malimbikizo na mizozo ndio huanzia hapa.
 
aisee hyo ni almost nchi nzima.ileje-mbeya ni kilio bado tunasubr report kwa ded
 
aisee hyo ni almost nchi nzima.ileje-mbeya ni kilio bado tunasubr report kwa ded
<br />
<br />
Naongezea hapo, hata sisi huku Tanga jiji ni asilimia 50 hatupo kwnye hiyo payrol. Mimi najiandaa kurudi kwetu Muleba hali ngumu.
 
Hii nchi mambo hayemdi bila pressure, so vijana amkeni na mtumie hyo elimu yenu ili msidhurumiwe haki yenu!
 
Wanadharau waalimu halafu matokeo yakija mabaya wanaunda tume.
 
Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mi mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.
 
Walimu wapya walionza kazi mwishoni mwa mwezi wa pili wameanza kutaabika baada ya kukuta hamna majina yao kwenye Payrol ,huku wakurugenzi Wakiwakwepa kuwasaidi,habari nilizopata kutoka Wilayani zinasema mkurugenzi kawatolea nje kuwasaidia!Mwanzo wa malimbikizo na mizozo ndio huanzia hapa.
Walimu wa kike wajiandae kuvuliwa chup na kupewa kichapo...
 
Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mi mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.

HAYA NDO MAFISADI YENYEWE! JITU LINAONGEA TU BILA HATA YA KUFIKIRI! kwa hiyo na hawa unataka wakae miezi tisa bila mishahara? Kuna kipindi huwa nnahofu san na akil zetu watanzania!! Unaweza kumpeleka mwanao shule bila ada na akirudishwa nyumban utahoji kwamba anaonewa kwa sababu wewe ulisoma bila kulipa ada!
 
Sengerem fununu ni walimu 60 tu ndio walio ingia kwenye payrol.
 
Changamoto za Ajira wawe wazalendo waache ukike wa kulialia watavuliwa Boxer
 
Serikali ya JK itaunda tume kuchunguza madai yenu kama kweli hamjalipwa na kwa nini mmecjelewa kulipwa.
 
Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mu mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.
kAMA wewe ulifanikwa kuishi miezi yote basi wewe baba ako fisadi or jambazi mhata hapa kinondoni hakna ki2
 
Hilo ni suala la kawaida kwenye utumishi wa umma mi mbona nilikaa miezi 9 na badae nililipwa na malimbikizo yote ya mishahara yangu,watanzania wanapenda sana kulalamika.
Wakati huo ulikuwa unakula kwa nani? Au isitoshe ulikuwa umewekwa ndani na jimama.
 
Wakati huo ulikuwa unakula kwa nani? Au isitoshe ulikuwa umewekwa ndani na jimama.
mkuu,umepitia kwa makini sheria ya ajira/kazi ya tanzania?? Ujira/malipo ni haki ya msingi ya mtu na ilipwe kwa wakati stahiki (kwa mujibu wa mkataba). Katika hali kama hiyo,neno "wanapenda kulalamika" halina mashiko. Kama ulilipwa baada ya miezi 9,unataka kutuaminisha kuwa ulistahili malipo yako yalipwe kwa muda huo?? Wale ambao hawalipwi kwa muda "wakizungumza" ndiyo kulalamika?? Unataka kuwaaminisha wote wanaodai haki zao za malipo "wasilalamike",waendelee kufundisha?? Vipi kuhusu mahitaji yao ya msingi yanayotegemea "mshahara na masurufu" yatokayo na ajira yao ya ualimu?? Nayo yasubiri miezi 9 kama yako?? Umeamua kuitetea serikali,jenga hoja za msingi..
 
Back
Top Bottom