KASSON
Senior Member
- Sep 13, 2011
- 194
- 19
Walimu wapya walionza kazi mwishoni mwa mwezi wa pili wameanza kutaabika baada ya kukuta hamna majina yao kwenye Payrol ,huku wakurugenzi Wakiwakwepa kuwasaidi,habari nilizopata kutoka Wilayani zinasema mkurugenzi kawatolea nje kuwasaidia!Mwanzo wa malimbikizo na mizozo ndio huanzia hapa.