Walimu wapya walamba nusu ya pesa ya kujikimu-(NJOMBE).KWANINI?

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
Wakuu nimefka kwenye halmashauri niliyopangiwa kwa ajili ya kuanza kazi(njombe),lakini pesa ya kujikimu imetolewa nusu. KWA SHAHADA TSH-45000@siku, HALMASHAURI imetoa pesa ya siku 3 badala ya siku saba, wanadai eti serikali haijaleta pesa zote! WALIMU WENZANGU HUKO MLIKOLIPOTI PIA KUNA TATIZO KAMA HILI? au ndo ukiona manyoya............
 
Sasa umelipwa siku 3 badala ya siku 7, nusu iko wapi hapo??

We njomba patrick, inatakiwa mwalimu apewe pesa ya kujikimu ya siku 7(kama ilivoainishwa kwenye website ya tamisemi) na sio siku tatu!ndio maana nimesema nusu!
 
Nipo Tabora urambo napo hali ni tete walimu wa shahada tumepewa hela ya siku 4 huku wa primary wakipewa yote, tulipohoji tumeambiwa hela ya walimu wa shahada imekuja ya siku nne tu na nyingine watatoa.
 
Halmashauri ya Nyasa Shahada tumeramba 315000 kesho tunakomaa nauli wamesema tuandike barua eti..
 
Nipo Tabora urambo napo hali ni tete walimu wa shahada tumepewa hela ya siku 4 huku wa primary wakipewa yote, tulipohoji tumeambiwa hela ya walimu wa shahada imekuja ya siku nne tu na nyingine watatoa.

Jamani MACCM ni hatari sana! mwalimu tsh35000 kwa siku wanazungushwaaaa,mbunge 300000 kwa siku analipwa fastaaaaaa!ngoja tusubiri tujue mwisho wa hili suala!
 
Kiukweli walimu tunadharauliwa sana,yani hatuthaminiwi kabisa,mtu katoka IRINGA HADI TABORA URAMBO,badala ya kuwapa hela yote unampa nusu,dawa ni kusepa tu maana hawatujali.
 
Ngoja nikusanye mtaji kwanza kisha ning'oe nanga ku.da.da.de.ki!
 
Wakuu nimefka kwenye halmashauri niliyopangiwa kwa ajili ya kuanza kazi(njombe),lakini pesa ya kujikimu imetolewa nusu. KWA SHAHADA TSH-45000@siku, HALMASHAURI imetoa pesa ya siku 3 badala ya siku saba, wanadai eti serikali haijaleta pesa zote! WALIMU WENZANGU HUKO MLIKOLIPOTI PIA KUNA TATIZO KAMA HILI? au ndo ukiona manyoya............

Kabla ajira hazijatangazwa mlikuwa mnasumbua kweli na mlikuwa na hamu ya kwenda kuripoti. Wengine Posti zilipotoka mlitamani mkaripoti siku hiyohiyo.
Kama meenda kwa Lengo la kupiga hela jueni kuwa serikali haina Pesa. Kafanyeni kazi
 
Watabana wataachia tu!
 
Hizo habari za Walimu kulipwa hela ya siku 3 badala ya siku 7 nimeziskia hata huko Mkinga-Tanga.

Ila inawezekana ni mbinu za kuwafanya walimu msikimbie vituo vya kazi mapema.
 
Kwa Tanzania nzima pesa imetumwa nusu, mimi nilokopangiwa tumepewa siku 7 (315,000). Dhou, kwa maelezo ya afisa utumishi halmashaur ya wilaya ndo imejiongeza hili tupate. So serkal iklipa watajrefund. Ni ukarimu tuu wa wilaya hili kuondoa usumbufu wa maden ya mtu mmoja mmoja. Instead, watadai wao ka halmashaur! So relax, hamjaibiwa waulzen na wenzenu.
 
Back
Top Bottom