Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Habari wa na jamvi,
Umekuwa na shida kubwa katika Halmashauri zetu kuhusisna na waalimu wanaoripoti kutokupelekwa vitu vyao vipya wanaambiwa waende wenyewe.
Ikumbukwe walimu hawa ni wageni katika mazingira haya. Kuna mmoja kakoswa kosa kutafunwa na mamba alipokuwa akivuka ili kukifuata kituo chake.
Kuna mwingine yeye kapotea siku 2 anakitafuta kituo chake.Utaratibu wa zamani urudishwe magari ya Halmadhauri kuwabeba watu na kuwapeleka katika vituo vyao vipya
Kuna baadhi ya wakuu shule sio waelewa wamefunga simu sasa sijui hawataki ugeni wa waalimu wapya, daaaaahhh