Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
KaigoWewe uko wapi kwa sasa.
Umepata kituo chako cha kazi?Kaigo
Hii inahusiana na mada?Moshi wamekutana na hasira ya Mungu baada ya kushangilia kifo cha mwendazake.
Corona imechapa familia ya mbowe
Na chato imekutana na hasira ya nani?Moshi wamekutana na hasira ya Mungu baada ya kushangilia kifo cha mwendazake.
Corona imechapa familia ya mbowe
Kivip kaka dadavuaWe mwalimu mkuu wako wa kazi atakuwa na kazi sana.
Ajira 5000 za Hayati Magufuli zimepotea, ajira 6,000 za Rais Samia hazieleweki. Sasa hivi tunazungumzia ajira 12,000 bajeti ijayo
Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita. Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli) Tukaja mama...www.jamiiforums.com
Vijana tumesahaulika
Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya. Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...www.jamiiforums.com
Tamisemi lipeni mishahara ya walimu jamani!
Kumekuwa kuna mambo mengi yanafichwa fichwa lakini madhara yake ni makubwa na miongoni mwa mambo ambayo mhe: Rais wetu aliyoyaongea alisema wizara hazi-communicate. Unajua kila kitu kikimsubiri rais ndo aje afanye maamuzi kuna hakuna haja ya kuweka mawaziri kwani kazi yao kubwa imekuwa ni...www.jamiiforums.com
Tamisemi lipeni mishahara ya walimu jamani!
Kumekuwa kuna mambo mengi yanafichwa fichwa lakini madhara yake ni makubwa na miongoni mwa mambo ambayo mhe: Rais wetu aliyoyaongea alisema wizara hazi-communicate. Unajua kila kitu kikimsubiri rais ndo aje afanye maamuzi kuna hakuna haja ya kuweka mawaziri kwani kazi yao kubwa imekuwa ni...www.jamiiforums.com
Hivi hizi ajira 5000 za waalimu ni zinazozungumziwa ni zipi!?
Habari wana jamvi. Kwa bahati nzuri mimi ni mdau mkubwa elimu nimefurahishwa sana ujenzi na ukarabati wa mashule unavyoendelea kwani nina hakika vijana wengu watapata elimu katika mazingira bora. Jana kwa bahati nilimshuhudia Mhe Rais akizindua ujenzi wa ihungo secondary na veta. Kwa...www.jamiiforums.com
Serikali itoe pesa za kujikimu kwa Walimu wapya
Serikali itoe pesa za kujikimu kwa walimu kwani mlolongo umekuwa mrefu sana haijulikani ni lini pesa hiyo itatolewa. Nakumbuka siku katibu mkuu tamisemi anatangaza halmashauri zitakazowapokea walimu ziwe zimejiandaaa katika mapokezi ya wafanyakazi hao wapya. Lakini cha ajabu karibia...www.jamiiforums.com
Hawa hawanaga akili acha wafeHabari wa na jamvi,
Umekuwa na shida kubwa katika Halmashauri zetu kuhusisna na waalimu wanaoripoti kutokupelekwa vitu vyao vipya wanaambiwa waende wenyewe.
Ikumbukwe walimu hawa ni wageni katika mazingira haya. Kuna mmoja kakoswa kosa kutafunwa na mamba alipokuwa akivuka ili kukifuata kituo chake.
Kuna mwingine yeye kapotea siku 2 anakitafuta kituo chake.Utaratibu wa zamani urudishwe magari ya Halmadhauri kuwabeba watu na kuwapeleka katika vituo vyao vipya
Kuna baadhi ya wakuu shule sio waelewa wamefunga simu sasa sijui hawataki ugeni wa waalimu wapya, daaaaahhh