Walimu waripoti makazini kimya kimya

Walimu waripoti makazini kimya kimya

Hivi mbona walimu wanadharaulika, wakati mwalimu wa bachelor anawazidi mishahara, nesi wa diploma,nesi wa certificate, CO, dentist diploma, Mionzi diploma, Biomedical,watendaji, mapolisi etc,, Sasa why dharau
Sio dharau, kwani sio kazi za wito tena siku hizi??
 
Ata uraisi ni witooo,,ndo maan Trump hachukui mshahara
Eti kunajamaa humu forum anasema ako na connection lakini hiyo connection inamuambia afaulu mtihani.sasa connection na kufaulu wapi na wapi ukiwa na connection inabidi hata kama umefeli upite
 
Eti kunajamaa humu forum anasema ako na connection lakini hiyo connection inamuambia afaulu mtihani.sasa connection na kufaulu wapi na wapi ukiwa na connection inabidi hata kama umefeli upite
Asaiv watu wamekua matapeli unakula hela na kazi hupati. Wameona watu wako na shida ya kazi basiii wanapata ulaji wengi wanasema nipe laki tano
 
We husiwe na pressure,utapata science wanaitajika mnoo, ulimaliza mwaka Gani?
Asiwe na pressure kwenye kemia na bios hao wapo kama kumbikumbi SAWA na WA art's TU.
Phy, math,bookkeeping, commerce, fine art, agriculture, nutrition, lab tech.
Awa at least ni suala la muda nchi upepo upon juu yao mwaka ni wao tu kumega keki ya hii nchi.
Masomo mengine tafuteni connection za waganga ushindani wake ni mkubwa sana zaidi ya maelezo
 
Kila sehemu ushindani upo ndo maana mpaka Sasa 70% ya walimu wa hesabu wa 2019 wapo kitaaaa
 
Rejea kichwa Cha habari hapo juu
Kuna rafiki zangu wamrepoti kazini kimya kimya katika zile ajira 12000 zilizotangazwa ..
Mpka sshv zile ajira zilikuwa magumashi tu ..
Serikali ya Samia bila connection sasahivi hautoboi hasa watoto wa masikini
Kichwa yako si nzuri
 
Back
Top Bottom