Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

Unaendelea kuleta siasa kwenye mambo ya msingi.
 
Unaendelea kuleta siasa kwenye mambo ya msingi.
relax gentleman,
ushabiki wako wa kisiasa usituletee kwenye mambo yanayohatarisha viwango vya elimu yatu kama Taifa,

Gentleman,
huna sifa, vigezo na viwango vya kuidhinishwa katika ufundishaji, tafuta mambo mengine ya kufanya, fujo haziwezi kusaidia 🐒
 
Kwa kuwa elimu yao walienda kuitafutia kenya sio?
 
Aisee umeleeweka!
Unataka kusema nini juu ya vyuo vinavyowapika hao waalimu?
Na hao madaktari ambao wanasotea ajira na kada zingine ni sababu hiyo hiyo au kuna nyingine?
 
Naona Chawa wa Watawala mmeamua kuanzisha Vita dhidi ya Walimu wa NETO kwa kuwafanyia Characters Assassination and Smear Campaign.
 
Mmeanza kuwa tuka a sasa! Majority ya walimu ni failures wa o level au a level thus they are all the same na hao walio ajiriwa
 
Aisee umeleeweka!
Unataka kusema kusema nini juu ya vyuo vinavyowapika hao waalimu?
Na hao madaktari ambao wanasotea ajira na kada zingine ni sababu hiyo hiyo au kuna nyingine?
Gentleman,
ukisoma sheria huwezi kua wakili mpaka uthibitishwe kwamba unakidhi vigezo na viwango tajika kuidhinishwa kua wakili, pamoja na taaluma nyingine,

haina maana kwamba ukisoma udaktari ni Lazima uwe daktari,
madaktari wengi hivi sasa ni wakurugenzi wa halmashauri nchini kazi ambayo ni tofaut kabisaa na taaluma zao.

walimu wasio na sifa stahiki na vigezo muhimu vya kufundisha, wasipewe fursa hiyo kwasabb watashusha viwango vya elimu nchini 🐒
 
Naona Chawa wa Watawala mmeamua kuanzisha Vita dhidi ya Walimu wa NETO kwa kuwafanyia Characters Assassination and Smear Campaign.
ikiwa huna sifa na vigezo muhimu vinavyohusiana na ufundishaji wa viwango tajika, huna sababu ya kuleta fujo gentleman,

tafuta kazi nyingine,
hatuwezi kukuruhusu kushusha viwango vya elimu nchini 🐒
 
Naona Chawa wa Watawala mmeamua kuanzisha Vita dhidi ya Walimu wa NETO kwa kuwafanyia Characters Assassination and Smear Campaign.
Mpumbavu huyo.
Angeandika kitu kingine kuliko kuleta uchawa kwenye vitu vinavyowahusu vijana tunaowaona wakihangaikia ajira.
Kwanza hajui maana ya ku fail . Tunakutana na vijana wa kada tofauti wenye GPA nzuri tu na hawana kazi.
 
Hamna mwenye akili ana waentertain. Ndio maana unaona kila kukicha wanakamatwa kama lbl. Hapa tupo tunatengeneza zengwe tuwaweke kesi za wizi na uhujumu uchumi na zile za kutukana mamlaka. Sio siku hutosikia neto tena. Don't worry. Waache wakusanywe taratibu. Hawawezi tusumbua.
Naona wameanza kujiunga na chadema.
Nilisema mimi vijana wanakosea sana harakati za kudai maisha bora na kejeli kwa nchi. Ni vitu viwili tofauti. Tanzania's aren't prone kufanya harakati za uchochezi tuko proned kutoa maoni yafike sehemu husika.
 
Ndio maana tunasema unaandika usichokijua.
Usilete maswala ya siasa kwenye taaluma.
 
Kila siku nakwambia uwe unasoma ili kuondoa huu ujinga unao andika hapa kila siku.
Ivi sifa za kuajiriwa Kwa kwa walimu TZ ni GPA ya ngapi? According to standing orders
 
Mpumbavu huyo.
Angeandika kitu kingine kuliko kuleta uchawa kwenye vitu vinavyowahusu vijana tunaowaona wakihangaikia ajira.
Kwanza hajui maana ya ku fail . Tunakutana na vijana wa kada tofauti wenye GPA nzuri tu na hawana kazi.
gentleman,
acha panic,
Prove me wrong kwamba hao jamaa wana sifa na vigezo vya ufundishaji.

acha kumbwelambwela kwa mihemko,
ajira za uhakika na za kutosha shambani kwa vijana wote hadi wenye GPA ya 5 kama mimi 🐒
 
Kichaa akiwa hatoki kwako anachekesha sana.
 
Yaani

Wewe lazima una matatizo si bure
 
ikiwa huna sifa na vigezo muhimu vinavyohusiana na ufundishaji wa viwango tajika, huna sababu ya kuleta fujo gentleman,

tafuta kazi nyingine,
hatuwezi kukuruhusu kushusha viwango vya elimu nchini 🐒
Machawa kwenye ubora wenu bado Lukas maralia2 nae hajaja kutoka uharo wake hii ndoano mmemeza shupazeni shingo muone kitakacho jili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…