Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

Kwa kuwa elimu yao walienda kuitafutia kenya sio?
ukiwa hauko serious masomoni matokeo yake ni ufaulu wa kiwango cha chini ambacho kitakusumbua tu kwenye soko la ajira,

na for sure huwezi ajirika 🐒
 
Aisee umeleeweka!
Unataka kusema kusema nini juu ya vyuo vinavyowapika hao waalimu?
Na hao madaktari ambao wanasotea ajira na kada zingine ni sababu hiyo hiyo au kuna nyingine?

ukiwa hauko serious masomoni matokeo yake ni ufaulu wa kiwango cha chini ambacho kitakusumbua tu kwenye soko la ajira,

na for sure huwezi ajirika 🐒
Wewe unayo?
 
Kuna kazi gani mbadala wamepewa kulingana na ufaulu wao ? Au Serikali haina kabisa wajibu wa kuhakikisha watu wake (ambao baadhi tunatoa Kodi) wanauhakika wa kupata ujira wa kujipatia mahitaji yao muhimu ?!!!

Yes gentleman,
mimi namshukuru nina ajira kwenye sekta ya kilimo, siasa, elimu, biashara, ufugaji n.k🐒
Wewe umejiajiri kwenye kilimo unapata muda wa kukesha humu mitandaoni ukisema kwenye siasa naona ndio unachokifanya humu,biashara sina uhakika kwani vyote vinauhitaji muda,pia kwa ufugaji hata elimu.
 
Gentleman,
sina haja ya kubabaika kujieleza kwenye hilo,
nitaendelea kupambana maeneo hayo yanayopeleka chakula nyumbani,

lakini pia ni siwezi kuchoka kusema ukweli hata kidogo 🐒
 
Siku ukichoka utasema tu,uzuri babu kakamatia shikio makali katuelekezea.Hivyo ni bora kuacha ujasiria siasa na tuihubiri siasa safi kwa kwa manufaa yako na yataifa na sii kwa ajili ya chama wa kundi fulani.
 
Balozi zifanye mpango wa kutafutia hawa walimu ajira za kufundisha kiswahili nje ya nchi.
 
Siku ukichoka utasema tu,uzuri babu kakamatia shikio makali katuelekezea.Hivyo ni bora kuacha ujasiria siasa na tuihubiri siasa safi kwa kwa manufaa yako na yataifa na sii kwa ajili ya chama wa kundi fulani.
Gentleman,
bila kua jasiri na kua mtu wa bidii na haki nisingekua kiongozi wa wananchi leo hii,

ndiyo maana siwezi kubabaika wala kuyumbishwa na yeyote kwa kile ninachoamini kwa kuwaza, kusema na kutenda 🐒
 
Ajira za nini bhn,

Shida yenu ni kutaka kujua fulani kasomea nini,kasomea wapi, kaishia wapi n.k
Utadhani ni kitu cha muhimu kwenu.

Mna feel insecure kutopata taarifa za watu fulani.
 
Back
Top Bottom