ukiwa hauko serious masomoni matokeo yake ni ufaulu wa kiwango cha chini ambacho kitakusumbua tu kwenye soko la ajira,Kwa kuwa elimu yao walienda kuitafutia kenya sio?
Aisee umeleeweka!
Unataka kusema kusema nini juu ya vyuo vinavyowapika hao waalimu?
Na hao madaktari ambao wanasotea ajira na kada zingine ni sababu hiyo hiyo au kuna nyingine?
Wewe unayo?ukiwa hauko serious masomoni matokeo yake ni ufaulu wa kiwango cha chini ambacho kitakusumbua tu kwenye soko la ajira,
na for sure huwezi ajirika π
Yes gentleman,Wewe unayo?
Wewe umejiajiri kwenye kilimo unapata muda wa kukesha humu mitandaoni ukisema kwenye siasa naona ndio unachokifanya humu,biashara sina uhakika kwani vyote vinauhitaji muda,pia kwa ufugaji hata elimu.Yes gentleman,
mimi namshukuru nina ajira kwenye sekta ya kilimo, siasa, elimu, biashara, ufugaji n.kπ
Wewe umejiajiri kwenye kilimo unapata muda wa kukesha humu mitandaoni ukisema kwenye siasa naona ndio unachokifanya humu,biashara sina uhakika kwani vyote vinauhitaji muda,pia kwa ufugaji hata elimu.
Gentleman,Wewe umejiajiri kwenye kilimo unapata muda wa kukesha humu mitandaoni ukisema kwenye siasa naona ndio unachokifanya humu,biashara sina uhakika kwani vyote vinauhitaji muda,pia kwa ufugaji hata elimu.
Siku ukichoka utasema tu,uzuri babu kakamatia shikio makali katuelekezea.Hivyo ni bora kuacha ujasiria siasa na tuihubiri siasa safi kwa kwa manufaa yako na yataifa na sii kwa ajili ya chama wa kundi fulani.Gentleman,
sina haja ya kubabaika kujieleza kwenye hilo,
nitaendelea kupambana maeneo hayo yanayopeleka chakula nyumbani,
lakini pia ni siwezi kuchoka kusema ukweli hata kidogo π
Gentleman,Siku ukichoka utasema tu,uzuri babu kakamatia shikio makali katuelekezea.Hivyo ni bora kuacha ujasiria siasa na tuihubiri siasa safi kwa kwa manufaa yako na yataifa na sii kwa ajili ya chama wa kundi fulani.