Usaili lazima kitonga hamna kama ulikuwa unazuga chuo unajifanya ww ni mzee kusomea kwenye mdegree library huijui ndio utaona moto sasa mnakandwa walimu kelele nyingiiii mtazoea tu.... Hii inaleta hata heshima uliowakuta kazini hawawezi kukudharau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeweka mbele facts zako na namna wanaenda huko...siliza clips zao kuhusu ugumu wa kupata hata Hela ya kula...wewe umevuka au kuvushwa mto..basi unaamini ni genius na wao vilaza..tafakari mtanzania wewe .Watoke nje ya Tanzania, waende Botswana au hata nyingine soko la ajira ni kubwa Sana kwa upande wa walimu.
hivi akianzisha tution hapati pesa mtu ujuzi anao anasubiri ajira za serikaliUngeweka mbele facts zako na namna wanaenda huko...siliza clips zao kuhusu ugumu wa kupata hata Hela ya kula...wewe umevuka au kuvushwa mto..basi unaamini ni genius na wao vilaza..tafakari mtanzania wewe .