Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Na sisi wachumi tuliopo kitaaaa tunataka mwigulu aachie uwaziri wa pesa sabb hajatupa kazi t.r.a tukusanye mapato😂😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko sawa maeneo ni mengi sana ya kulima nilikuwepo huko miaka ya 2009 kipindi hicho usafili wa kutoka sumbawanga Hadi huko ni mbilingeTena huyo ndiye alinipa ekari 100, bure kabisa. Yeye kahamia Dodoma analima zabibu
Kwann kilio baada ya kufeli usaili na sio kabla...Akili yako ni ndogo sana
Kupanga ni kuchagua hakuna aliyemfata mtu kwake aje afanye usailiMi nina mtazamo yofauti hapo:
Ilitakiwa serikali iwafikie kwa ukaribu hawa wanaosailiwa kuwapunguzia gharama.
Nina mtoto wa shangazi yangu amekaa morogoro almost 4 days akifanya hii kitu mnaitaa Usaili.
Gharama ni kubwa mtu job less hana kazi analipaje hizi gharama?
Amekusanya pesa kwenye biashara yake anakuja kuzika huku kwenye accomodation na malazi, Imagime boda boda wa watu kaacha kazi ya tajiri kaja huku.
Kuna walimu private wameathirika na kazia hii, boss akisikia umeomba ruhusa kwenda kufany interview anakula kichwa.
Kuna namna liangaliwe hili
Aliyekwambia wote wamefeli ni nani hivi aliyepata 76% amefeli ?Kwann kilio baada ya kufeli usaili na sio kabla...
Ni sawa pia.Kupanga ni kuchagua hakuna aliyemfata mtu kwake aje afanye usaili
Mi ndo hua nawatuma wakatekeOya Anza kutembea na kisu, watekaji wame rudi
Usi jae kwenye mikono ya. Banyeta😂🤣Mi ndo hua nawatuma wakateke
BNTUsi jae kwenye mikono ya. Banyeta😂🤣
Naam, jichanganye uishie kupostiwa na mishumaa
Kama pass mark ilikuwa 90% je?Aliyekwambia wote wamefeli ni nani hivi aliyepata 76% amefeli ?
Sawa,ila tuko ulimwengu wa ushindani, usaili ni lazima kwa sasa.Huna hoja
Kumbe ualimu ni deal.Wanaeza wapate siunajua wale wanaokua mbele wanachapwa ajira wanatulia
Kwa standard za usaili umefeli 😭😭😭ndio maana upo kwenye ilo genge la neto.Aliyekwambia wote wamefeli ni nani hivi aliyepata 76% amefeli ?
naonesha jinsi Gani usivo mbunifu. Buni wazo lako na namna yako ya kipekee ya kudai haki zenu/zako. Nyie si mlikalia kukariri ma Archimedes principle Sasa uwezo wa kuhoji huo huna ndg mhandisi ndiyo maana mmekuwa mkiperekeshwa tangia apo na mnaona kawaida tu kupotezewa muda wenu na rasilimali fedha zenu. Yaani mtu akutie hasara kuanzia kwenye mchakato wa uombaji(ucertify vyeti) mpaka kwenye nauli, chakula na malzi halafu update 90 ukatwe achukuliwe aliepata 92 halafu urudi nyumbani ukichekelewa na kuona ni jambo la kawaida 🐕🦺 shame on you .Ila waalimu huwa ni madishi yaliyopotea signal aisee , Mpwayungu njoo uchukue ndugu zako huku wehu hawa,
Basi na sisi wahandisi tuanzishe chama chetu cha wahandisi wasio na ajira (Unemployed Tanzanian Engineers Organisation )
UTEO
exactly 🤣🤣Usaili ni muhimu kuna waalimu walipata 0 kwenye usaili