DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na sisi wachumi tuliopo kitaaaa tunataka mwigulu aachie uwaziri wa pesa sabb hajatupa kazi t.r.a tukusanye mapato😂😂😂😂😂
 
Tena huyo ndiye alinipa ekari 100, bure kabisa. Yeye kahamia Dodoma analima zabibu
Huko sawa maeneo ni mengi sana ya kulima nilikuwepo huko miaka ya 2009 kipindi hicho usafili wa kutoka sumbawanga Hadi huko ni mbilinge
 
Mi nina mtazamo yofauti hapo:
Ilitakiwa serikali iwafikie kwa ukaribu hawa wanaosailiwa kuwapunguzia gharama.

Nina mtoto wa shangazi yangu amekaa morogoro almost 4 days akifanya hii kitu mnaitaa Usaili.
Gharama ni kubwa mtu job less hana kazi analipaje hizi gharama?

Amekusanya pesa kwenye biashara yake anakuja kuzika huku kwenye accomodation na malazi, Imagime boda boda wa watu kaacha kazi ya tajiri kaja huku.

Kuna walimu private wameathirika na kazia hii, boss akisikia umeomba ruhusa kwenda kufany interview anakula kichwa.

Kuna namna liangaliwe hili
Kupanga ni kuchagua hakuna aliyemfata mtu kwake aje afanye usaili
 
Mi natafuta mwalimu mmoja wa kike anayekimudu kiingereza cha kuzungumza na kuandika vizuri sana nimpe kazi.
Akiwa fresher au ana mwaka mmoja kazini itakuwa pia zaidi.
Shule ipo Dsm, Mbezi Beach.
DM iko wazim
 
Ila waalimu huwa ni madishi yaliyopotea signal aisee , Mpwayungu njoo uchukue ndugu zako huku wehu hawa,
Basi na sisi wahandisi tuanzishe chama chetu cha wahandisi wasio na ajira (Unemployed Tanzanian Engineers Organisation )
UTEO
 
Ila waalimu huwa ni madishi yaliyopotea signal aisee , Mpwayungu njoo uchukue ndugu zako huku wehu hawa,
Basi na sisi wahandisi tuanzishe chama chetu cha wahandisi wasio na ajira (Unemployed Tanzanian Engineers Organisation )
UTEO
naonesha jinsi Gani usivo mbunifu. Buni wazo lako na namna yako ya kipekee ya kudai haki zenu/zako. Nyie si mlikalia kukariri ma Archimedes principle Sasa uwezo wa kuhoji huo huna ndg mhandisi ndiyo maana mmekuwa mkiperekeshwa tangia apo na mnaona kawaida tu kupotezewa muda wenu na rasilimali fedha zenu. Yaani mtu akutie hasara kuanzia kwenye mchakato wa uombaji(ucertify vyeti) mpaka kwenye nauli, chakula na malzi halafu update 90 ukatwe achukuliwe aliepata 92 halafu urudi nyumbani ukichekelewa na kuona ni jambo la kawaida 🐕‍🦺 shame on you .
 
Back
Top Bottom