DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama hata kiingereza hawajui "none employed teachers"
Akili yako ndio imeishia hapo unashindwa kutafakari ni kipi wamekiwakilisha badala yake unakimbilia kuhoji na kukosoe visivyo vya msingi tena lugha ya taifa jingine ili hali wanaopitia hayo ni sehemu pia ya maisha yako na kama sio ww basi jirani yako. Ifikie hatua hii inchi vijana mjitafakari kwa kina...Kilaza.
 
Mungu awabariki wahitimu wote na ikawe heri katika kuondoa uchungu ndani ya mioyo.

Nampongeza Dada Makamu Mwenyekiti na Katibu wake ni wahitimu wenye maarifa.

Shukrani nyingi pia ziende kwa vyuo na walimu wa hawa vijana wa secretariat ya umoja wao, aina hii ya uthubutu ni nzuri kwa Taifa na jamii yake
 
Waandame hizi organization zitakuwa na nguvu huko mbelen wanatakiwa kuwa na matamko mazito mazito wanatoboa
Angalizo watu wasio julikana wasije ingilia Kati..
Ulinzi kwa mwenyekiti na makamu na wajumbe wote.
Kwenye hichi kipindi wasitembee ovyo ovyo pia wasikubali kwenda watapo pigiwa simu na watu wasio wafahamu.
 
Mungu awabariki wahitimu wote na ikawe heri katika kuondoa uchungu ndani ya mioyo.

Nampongeza Dada Makamu Mwenyekiti na Katibu wake ni wahitimu wenye maarifa.

Shukrani nyingi pia ziende kwa vyuo na walimu wa hawa vijana wa secretariat ya umoja wao, aina hii ya uthubutu ni nzuri kwa Taifa na jamii yake
Hakika mkuu hawa na wengine ni TUNU katika hili taifa.
 
Watoke nje ya Tanzania, waende Botswana au hata nyingine soko la ajira ni kubwa Sana kwa upande wa walimu.

Na pia Seychelles kuna ajira, kibao wenzao waalimu wa Kenya wapo huko. Tokeni tafuteni fursa nje ya nchi... msianze kuuliza msaidiwe hadi jinsi ya kujaza fomu ...serikali imewasomesha hivyo msomi lazima kujiongeza kwa kuwa mbunifu nje ya box ...


Toka mikoani Kenya hadi Visiwani Seychelles, na ushuhuda wa jinsi walivyojitafutia ajira na kuzipata bila kutegemea waziri

Meet Eric Mbare, Kenyan Teacher Shaping Young Minds in Seychelles​


View: https://m.youtube.com/watch?v=qmRgDUpRxbs
 
Walimu wasio na ajira tangu 2015 mpaka sasa wameanzisha umoja wao wakiilalamikia Serikali kwa nini wanakosa ajira ilihali mapato ya Serikali yameongezeka.

Wameenda mbali na kufanya ulinganisho wa ukasanyaji wa mapato wakati wa Kikwete ambapo makusanyo yalikuwa madogo lakini karibu walimu wote waliajiriwa. Lakini kwa Awamu ya Dkt. Samia mapato ni makubwa sana lakini walimu bado ajira yao ni kidogo sana na wengi wao bado wako mitaani. Wanauliza kulikoni?.

Mimi nadhani ni vema Serikali ikawapa jibu la kuwaridhisha na ione namna ya kuongeza ajira kwa sababu shule nyingi zina upungufu wa walimu. Nashauri pia kama itapendeza walimu wote wasio na ajira wachukuliwe wote na kusimamia uchaguzi ujao wa Oktoba, 2025.

Ujumbe wao siyo mzuri kwa Serikali inabidi Serikali ijitafakari.
 
Back
Top Bottom