-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Akili yako ndio imeishia hapo unashindwa kutafakari ni kipi wamekiwakilisha badala yake unakimbilia kuhoji na kukosoe visivyo vya msingi tena lugha ya taifa jingine ili hali wanaopitia hayo ni sehemu pia ya maisha yako na kama sio ww basi jirani yako. Ifikie hatua hii inchi vijana mjitafakari kwa kina...Kilaza.Kama hata kiingereza hawajui "none employed teachers"
Waandame hizi organization zitakuwa na nguvu huko mbelen wanatakiwa kuwa na matamko mazito mazito wanatoboa
View: https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp
Wanawasilisha malalamiko yao ya Ajira
wanajulikana kama NETO
(None Employed Teacher Organisation)
Angalizo watu wasio julikana wasije ingilia Kati..Waandame hizi organization zitakuwa na nguvu huko mbelen wanatakiwa kuwa na matamko mazito mazito wanatoboa
Nilihisi hii mbinu ndio itatumiwa na jamaa...
View: https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp
Wanawasilisha malalamiko yao ya Ajira
wanajulikana kama NETO
(None Employed Teacher Organisation)
Hakika mkuu hawa na wengine ni TUNU katika hili taifa.Mungu awabariki wahitimu wote na ikawe heri katika kuondoa uchungu ndani ya mioyo.
Nampongeza Dada Makamu Mwenyekiti na Katibu wake ni wahitimu wenye maarifa.
Shukrani nyingi pia ziende kwa vyuo na walimu wa hawa vijana wa secretariat ya umoja wao, aina hii ya uthubutu ni nzuri kwa Taifa na jamii yake
Gen ZNilihisi hii mbinu ndio itatumiwa na jamaa...
Huku NYETO ikifubaza uelewahii dunia tabu sana,..huku NATO wanaliza watu, huku wadogo zao NETO wanalizwa,....🤣😂😂😂
Anasemaje kuhusu GhanaMkenda vijana hawakuelewi na mifano yako ya Ghana
Watoke nje ya Tanzania, waende Botswana au hata nyingine soko la ajira ni kubwa Sana kwa upande wa walimu.
Umenikumbusha Augustinho NETO
View: https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp
Wanawasilisha malalamiko yao ya Ajira
wanajulikana kama NETO
(None Employed Teacher Organisation)
NETO
(None Employed Teacher Organisation)