DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Je madhara ya kula matunda ya kutengeneza na madawa meengi unayajua mkuu?

Kimsingi tunakula kemikali tupu!
 
inasemekana serikali haina mpango na wale waliomaliza 2015 , inasema vichwa vyao vimeexpire na mitaala imebadrika
 
Watashambuliwa kutoka kila Kona na jamii inayoitwa chawa wa mama na wasanii lakini haiondoa ukweli wa tatizo la ajira lililopo.
I think hawa nq professional pressure grouo

Hawawezi kushambuliwa

Sio sio chagadomoz and playaz
 
Mimi ni mwalimu, muda sana wadau wanasema humu "PSRS Usiposoma hutoboi" niliichukua hiyo kama changamoto. Masomo yote nimeenda oral. Maswali ya oral nimejibu vema, swali la presentation niliandaa lesson plan na lesson notes. Hivo nasubiri maamuzi. Waalimu wenzangu wakubali, mchakato ni fair kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…