Annie Josh
Senior Member
- Nov 17, 2010
- 184
- 67
Ushauri wako ni nini katika hili?assesment haina kabisa uhusiano na interview unapoajiliwa,hiyo ni sehemu ya kupata elimu ukiwa shule na hakuna anaefeli assesment,alafu assesment inafanyika kwenye field ambapo hata kozi zingine zote wanafanyiwa na bado wakienda kuajiliwa lazima wafanyiwe usaili ila walimu hawafanyiwi
jadili mada usitoke povu. je ni sahihi walimu kuajiliwa bila interview?pia mimi sijawahi kufanya hata interview moja kama unavyofikilia na sitegemei kuajiliwa mana fani yangu itaniajili na mimi nitakuwa mwajili kwa wengine.wivu ni kidonda ukishiriki utakonda .umehangaika na mavyeti yako weeeeee! Umeshindwa intervews nyingi weeeeeeee!! Sasa ukaona yafaa kuwaandama walimu,wewe bure kabisa ,ungekuwa umewahi kusoma chuo chochote cha ualimu usinge ongea ushuzi wako humu, na bado vima wewe. Utasugua sana kitaa na cv zako na kazi hutopata coz umekalia umbea na majungu.
mada haifutwi,kwa hiyo wewe unasimamia upande upi?utaratibu wa kuwaajiri uko sahihi ama la?Hii topic ya walimu ifutwe! Nani acyejua uwezo wao kila mtu amesoma na mtu, so anajua kabisa kama huko alipo anafanya kazi au anafanyiwa kazi!
So nawe umeandaliwa na hao incompetent right? How competent are you in whatever field you arenani asiyejua kuwa last option kwa wengi ni kusoma ualimu matokeo yasipofikia lengo,ni walimu wachache tu ndio ni cnmpitent ila walio wengi hawawezi hata kufundisha kwa sababu walipita katika mfumo usiofaa,hili nalo linahitaji kuangaliwa upya
mtu aliyefeli ana ufahamu kiasi hiki?kifupi nilifaulu masomo yote hiyo o level yako,tuache hayo,je ni sahihi kuajiliwa bila interview?wewe kama umefeli form 4 ndo uangushie mizigo walimu,kuna kitu kijana kinaitwa falancy of generalization,kisa umektana na mwalimu mmoja hajui eti ukaconclude ni wote,ifike wakati ujitambue.
falancy ama falacy?kweli kazi tunayo,na wewe ni teacher wa kuelekeza wanafunzi,hatari sana. sijasema wote ila wewe ndio unasema wote na huu ni ushahidi tu kuwa hata wewe hustahili kuwa mwalimu,umekosea spelling na bado umesoma hujaelewa,nimesema wengi ambao ni makumi kati ya walimu wengiwewe kama umefeli form 4 ndo uangushie mizigo walimu,kuna kitu kijana kinaitwa falancy of generalization,kisa umektana na mwalimu mmoja hajui eti ukaconclude ni wote,ifike wakati ujitambue.
Inaonekana anajua mwalimu ni content tuuUngejua degree ya ualimu watu wanavyosoma usingesema
wewe unadhani interview ni kitu gani na inamaana ipi? pia ukumbuke kuwa huyo mtu amekaa shule muda mrefu na kufanikiwa kufaulu masomo yote mpka akawa na sifa ya kuitwa kwenye interview, je hiyo interview tena ni ya masaa machache inaweza ikawa ni kigezo muhimu kama unavyotaka kutuaminisha?mtu aliyefeli ana ufahamu kiasi hiki?kifupi nilifaulu masomo yote hiyo o level yako,tuache hayo,je ni sahihi kuajiliwa bila interview?
huo ni ushahidi tu kuwa walimu wengi hawastahili kuajiliwa kama wangefanyiwa interview,si unaona humu uandishi wao na uwezo wa kuelewa na kujenga hoja ni mdogo kwa walio wengi waliojibu. wenzio hawakuelewa kabisa na kama hii ni interview hapahapa unaanza kuwapiga chini" Walimu wengi hawana vigezo na hawana uwezo wa kufundisha",kwa wanaomponda mtoa mada angalia kwenye red hajasema WOTE amesema WENGI.......any way anaweza akawa wrong somehow ingawa ukweli mchungu pia
hawa ndio walimu wachache niliosema wanasitahili kuwa walimu,hili swala liko wazi na mimi naunga mkono ni katika sekta zote hata ya kwangu si watu wote ni wazuri ndio maana interview inafaa kuwepo kuwabaini na kutowaajiri.Si kila mtu mwenye cheti/diploma/degree ya education ni Mwalimu competent! Na ukweli huu una-apply kwa taaluma zote (including medicine, finance, engineering, you-name-it). Mtu anaweza akajua kitu lakini akashindwa kumuelimisha mwenzie. Mleta maada yu sahihi pamoja na matusi yote aliyomwagiwa. And am a trained teacher!
nao wapite kwenye interview ama wapewe ajira kwa muda huku ripoti zao na uwezo wa kufundisha kama wanaeleweka zitolewe maelezo na wanafunzi na kama haeleweki ajira inasitishwa kabla ya kupewa ajira ya kudumu,mana watoto wanapata tabu sana wakikabiziwa mwalimu asiye na uwezo kabisa,private tu ndo wanaweza kubadilishiwa mwalimuUshauri wako ni nini katika hili?
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira nyingi ndio upenyo wa mamia wasiofaa kuajiliwa ualimu
muda wote system ya elimu ilikuwa content kwenye ngazi za chini na kwa kiasi kikubwa kwenye ngazi za juu mpaka hivi karibuni,lakini unaweza kusoma kwa cotent na ukawa competent,na unaweza kusoma kwa competency system na usiwe competent,so what then?nilimaanisha self and individual capability as a result of inborn IQInaonekana anajua mwalimu ni content tuu
nimefundishwa na walimu,babu ni uhusiano tu wa kindugu ambapo babu huyo huyo pengine alinifundisha kama mwalimu, lakini wengi wa walionifundisha hawaeleweki darasani,ni tabu tupu
I cant be a judge to myself whether I am competend and how much or not competent,sikuandaliwa na incompetent teachers,wanafunzi ndio tuliokuwa tunaamua hatima ya mwalimu,tukisema haeleweki anafutwa kazi haraka sana,kila wiki tulitakiwa kuandika ripoti katika kila darasaSo nawe umeandaliwa na hao incompetent right? How competent are you in whatever field you are
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira nyingi ndio upenyo wa mamia wasiofaa kuajiliwa ualimu
ushahidi ninao,na wewe ni mwalimu?kazi ipo,matusi ya nini?ni aibu kama wewe pia ni teacher alafu unajua na unawafundisha wadogo zetu kuwa field ni interview. hatari sana,elimu inaangamiaTafuten mada za kujadili mnakaa na kuleta mada za kijinga ww kama msomi huna haki ya kuzungumza bila kua na ushahid na takwimu za hao walim uasemao kwa mfani nikikwambia utaje shule husika na majina ya hao walimu unaohis hawawez kufundsha utakua nayo?hyo iterviw unayoongelea ww ni ipi tofaut na field ni ipi?kwa mashulen wakaguz wana fanya kaz gan?umekaa ukaona walim tuu?no research no data