acha upotoshaji lab technician sio waalimu na hawajawahi ajiriwa pamoja na waalimu isitoshe waweza pitia tovuti ya utumishi utakutana na matangazo ya ajira wakiwemo hao matechnicians. so ieleweke hivyo

Kwa hiyo wewe unapingana na tamisemi? Iwapo tamisemi imetoa tamko hilo ww ni nani wa kukanusha?.kama haupo up to date sio lazima u comment Mkuu
Kwa hiyo are you sure na unatuhakikishia idadi hiyo ya walimu watakosa ajira? Kwa sababu iliyotolewa?
Mwaka jana serikali iliajiri walimu 36,000 mwaka huu serikali inaajiri walimu 34,000 kati yao 10000 ni lab technician ambao kipindi cha nyuma walikuwa hawapo kwenye ajira za 36,000. my concern endapo idadi ya walimu wanaohitimu ni ileile au imezidi kidogo (kitu ninachoamini) basi zaidi ya walimu 10k watakosa ajira hasa wa masomo ya arts wale wa degree
I stand to be corrected!
Leave them alone, kwani wakiajiriwa au wasipo ajiriwa wewe unapata nini while it is non of your business?Mkuu niliwah kutoa hoja kama hii, nikabezwa xanaa ooh takwimu sio za kisomii,, oooh acha wivu,, usemalo laweza kutokea bt tutaamin hv punde wakitoa majina,,
Leave them alone, kwani wakiajiriwa au wasipo ajiriwa wewe unapata nini while it is non of your business?
Leave them alone, kwani wakiajiriwa au wasipo ajiriwa wewe unapata nini while it is non of your business?
ngoja tusubiri tutaona mwafaka wake