shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
Mwaka jana serikali iliajiri walimu 36,000 mwaka huu serikali inaajiri walimu 34,000 kati yao 10000 ni lab technician ambao kipindi cha nyuma walikuwa hawapo kwenye ajira za 36,000. my concern endapo idadi ya walimu wanaohitimu ni ileile au imezidi kidogo (kitu ninachoamini) basi zaidi ya walimu 10k watakosa ajira hasa wa masomo ya arts wale wa degree
I stand to be corrected!
I stand to be corrected!