Umemjibu vizuri sana mkuu, maana yeye anasubiri kwa hamu watu kukosa na sio kusubiri watu wapate, So bad 4 ppo lk him who hav stagnant thoughts!!
Iweje tena walimu 10,000 Wakose ajira? nina wasi wasi na umakini wako, hivyo pia nina wasiawasi na ulichokiandika.
watanzania hamtaki kuambiwa ukweli kwa hiyo kama mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 mwaka huu 34,000 huoni kuna gap kwanza la 2000 then mwaka huu wamejumuisha na lab techinician elfu 10 mwaka jana hawakuwepo hivyo idadi kamili inakuwa 24,000 dont you see that lengo langu ni nzuri mdogoangu kasoma ualimu lazima nifuatilie.
kama ni hivyo sawa japo sijafuatilia hiloMwaka huu kiukweli unawahitim wachache diproma elf 4 na kidogo cheti elf 10 na kidoga shahada haijapatikana idadi kwa ngaz 2 wamepungua walimu kama 8000 ivi kama mnakumbuka mwaka 2010 mfumo wa watu kukosa credit ulikua mkubwa wat wengi hawakwenda form five so may be inaweza kua na wahitimu wa shahada vilevile wamepungua
viloba vya asubuhi ndo matatzo yake haya!.. Umelazimishwa kucomment kama huna hoja pita kushoto, and who are you to stop me!,.
Mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 kumbuka hiyo ni walimu tu mwaka huu tamisemi wameomba ajira 34,000 kati ya hizo 10,000 ni lab technician 34-10=24 hao ni walimu halisi hebu chukua 36k ya mwaka jana - 24k mwaka huu utapa 12k watakosa mbona ni hesabu ndogo kukaa mtaana mwaka mmoja mmesahau kila kitu,
Sina mkuu my assumption ni kuwa idadi ya wahitimu ni ileile nilashema kwenye post yangu mwanzo kama wewe unazo hizo data sio mbaya ukatujulisha nakubali kurekebishwa.Je una takwimu rasmi au namba kamili ya wanafunzi wote waliohitimu na kufaulu mafunzo ya ualimu kuanzia cheti - Shahada kwa mwaka 2014-2015 kwa vyuo vyote TZ?
Mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 kumbuka hiyo ni walimu tu mwaka huu tamisemi wameomba ajira 34,000 kati ya hizo 10,000 ni lab technician 34-10=24 hao ni walimu halisi hebu chukua 36k ya mwaka jana - 24k mwaka huu utapa 12k watakosa mbona ni hesabu ndogo kukaa mtaana mwaka mmoja mmesahau kila kitu,
hayo uliyoandika yapo miaka yote sio mwaka huu tu sikubaliani na assumption zako.Mara nyingi kwa watu wa shahada majina ya wanafunzi hawa yanapelekwa huko wizarani hata kabla ya matokeo ya mwisho ya semester ya 6.
Sasa what if jina langu limeenda huko lakini matokeo ya mwisho nikapata repeat course? What if niliomba ila nikafuzwa chuo coz nilikamatwa na kibomu kwenye paper ya mwisho? What if mtu aliomba ila ametangulia mbele ya haki? What if mtu aliomba lakini amepata kazi nyingine na hana mpango tena na ualimu?
Na haya huwa yanatokea tena kwa vyuo vyote tz. Je hawa nao mnawaweka kundi lipi? Na hao watakaoachwa kundi lipi? mje takwimu ambazo zipo concrete na zinazoonesha uhalisia na sio hisia.
hayo uliyoandika yapo miaka yote sio mwaka huu tu sikubaliani na assumption zako.
Pressure kwetu sisi wenye teachng subject 1., then somo lenyewe ni History!.....