Walimu zaidi ya 10000 kukosa ajira

Walimu zaidi ya 10000 kukosa ajira

Tuache na ajira zetu
kati ya ajira 34,000 elfu 10 ni lab technician tofautio na mwaka jana zote 36,000 walikuwa walimu kwa hiyo bado kuna kitu cha kufikiri zaidi ya kusubiri kupangiwa vituo.
 
Umemjibu vizuri sana mkuu, maana yeye anasubiri kwa hamu watu kukosa na sio kusubiri watu wapate, So bad 4 ppo lk him who hav stagnant thoughts!!

watanzania hamtaki kuambiwa ukweli kwa hiyo kama mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 mwaka huu 34,000 huoni kuna gap kwanza la 2000 then mwaka huu wamejumuisha na lab techinician elfu 10 mwaka jana hawakuwepo hivyo idadi kamili inakuwa 24,000 dont you see that lengo langu ni nzuri mdogoangu kasoma ualimu lazima nifuatilie.
 
Leave them alone, kwani wakiajiriwa au wasipo ajiriwa wewe unapata nini while it is non of your business?

mdogo angu alisoma ualimu mbaya zaidi masomo ya arts kwa hiyo natural selection ikipita anaweza achwa lazima nifuatlie mkuu
 
Iweje tena walimu 10,000 Wakose ajira? nina wasi wasi na umakini wako, hivyo pia nina wasiawasi na ulichokiandika.

Mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 kumbuka hiyo ni walimu tu mwaka huu tamisemi wameomba ajira 34,000 kati ya hizo 10,000 ni lab technician 34-10=24 hao ni walimu halisi hebu chukua 36k ya mwaka jana - 24k mwaka huu utapa 12k watakosa mbona ni hesabu ndogo kukaa mtaana mwaka mmoja mmesahau kila kitu,
 
watanzania hamtaki kuambiwa ukweli kwa hiyo kama mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 mwaka huu 34,000 huoni kuna gap kwanza la 2000 then mwaka huu wamejumuisha na lab techinician elfu 10 mwaka jana hawakuwepo hivyo idadi kamili inakuwa 24,000 dont you see that lengo langu ni nzuri mdogoangu kasoma ualimu lazima nifuatilie.

Mwaka huu kiukweli unawahitim wachache diproma elf 4 na kidogo cheti elf 10 na kidoga shahada haijapatikana idadi kwa ngaz 2 wamepungua walimu kama 8000 ivi kama mnakumbuka mwaka 2010 mfumo wa watu kukosa credit ulikua mkubwa wat wengi hawakwenda form five so may be inaweza kua na wahitimu wa shahada vilevile wamepungua
 
kama ni hivyo sawa japo sijafuatilia hilo
 
Watu watasema sana na kufikiri sana lakini hayo yote hayata saidia, kwani hao wasemao wanasema kutokana na hisia na wala sio ukweli.
Ukweli utabainishwa japo kwa kuchelewa sana, na hata hamtakuwa na namna ya kufanya zaidi ya kuusubiri ukweli hata kama utachelewa..
"NIMEWAZA NA KUFIKIRI KWA SAUTI"
 
viloba vya asubuhi ndo matatzo yake haya!.. Umelazimishwa kucomment kama huna hoja pita kushoto, and who are you to stop me!,.

Hahaha umepanic broo! Jibu hoja acha matusi, as long as unaandika non-sense na rubbish we have a right to stop you to infinity.
 
Mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 kumbuka hiyo ni walimu tu mwaka huu tamisemi wameomba ajira 34,000 kati ya hizo 10,000 ni lab technician 34-10=24 hao ni walimu halisi hebu chukua 36k ya mwaka jana - 24k mwaka huu utapa 12k watakosa mbona ni hesabu ndogo kukaa mtaana mwaka mmoja mmesahau kila kitu,

Je una takwimu rasmi au namba kamili ya wanafunzi wote waliohitimu na kufaulu mafunzo ya ualimu kuanzia cheti - Shahada kwa mwaka 2014-2015 kwa vyuo vyote TZ?
 
Sina mkuu my assumption ni kuwa idadi ya wahitimu ni ileile nilashema kwenye post yangu mwanzo kama wewe unazo hizo data sio mbaya ukatujulisha nakubali kurekebishwa.
 
Mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 kumbuka hiyo ni walimu tu mwaka huu tamisemi wameomba ajira 34,000 kati ya hizo 10,000 ni lab technician 34-10=24 hao ni walimu halisi hebu chukua 36k ya mwaka jana - 24k mwaka huu utapa 12k watakosa mbona ni hesabu ndogo kukaa mtaana mwaka mmoja mmesahau kila kitu,

Mara nyingi kwa watu wa shahada majina ya wanafunzi hawa yanapelekwa huko wizarani hata kabla ya matokeo ya mwisho ya semester ya 6.

Sasa what if jina langu limeenda huko lakini matokeo ya mwisho nikapata repeat course? What if niliomba ila nikafuzwa chuo coz nilikamatwa na kibomu kwenye paper ya mwisho? What if mtu aliomba ila ametangulia mbele ya haki? What if mtu aliomba lakini amepata kazi nyingine na hana mpango tena na ualimu?

Na haya huwa yanatokea tena kwa vyuo vyote tz. Je hawa nao mnawaweka kundi lipi? Na hao watakaoachwa kundi lipi? mje takwimu ambazo zipo concrete na zinazoonesha uhalisia na sio hisia.
 
Pressure kwetu sisi wenye teachng subject 1., then somo lenyewe ni History!.....
 
Mara nyingi kwa watu wa shahada majina ya wanafunzi hawa yanapelekwa huko wizarani hata kabla ya matokeo ya mwisho ya semester ya 6.

Sasa what if jina langu limeenda huko lakini matokeo ya mwisho nikapata repeat course? What if niliomba ila nikafuzwa chuo coz nilikamatwa na kibomu kwenye paper ya mwisho? What if mtu aliomba ila ametangulia mbele ya haki? What if mtu aliomba lakini amepata kazi nyingine na hana mpango tena na ualimu?

Na haya huwa yanatokea tena kwa vyuo vyote tz. Je hawa nao mnawaweka kundi lipi? Na hao watakaoachwa kundi lipi? mje takwimu ambazo zipo concrete na zinazoonesha uhalisia na sio hisia.
hayo uliyoandika yapo miaka yote sio mwaka huu tu sikubaliani na assumption zako.
 
Dah how come tena inakuwa assumption wakati unasema yapo? Unaelewa unachoandika au umeshindwa kujibu ulichoulizwa?
 
let us wait and see!!!!! ....what is going to happen....let us be patient few days left
 
Mwaka jana waliajiriwa walimu 36,000 kumbuka hiyo ni walimu tu mwaka huu tamisemi wameomba ajira 34,000 kati ya hizo 10,000 ni lab technician 34-10=24 hao ni walimu halisi hebu chukua 36k ya mwaka jana - 24k mwaka huu utapa 12k watakosa mbona ni hesabu ndogo kukaa mtaana mwaka mmoja mmesahau kila kitu,

Kijana kwanza nakushauri kitu kimoja kama unashahada basi hiyo shahada niya kichina coz umeshindwa kugundua kuwa sio kila mwaka wahitimu wanatofautiana kitakwimu.
Mfano mwaka juzi ambao wameajiria mwaka jana cheti walikua 12675,diploma walikia 5675 na shahada walikua 17546.

But kwa mwaka jana wahitimu walikua.
Cheti 10456
Diploma 4161
shahada 12768

sasa ukifanya mahesabu hapo utagundua kuwa bado idadi iliyotajwa na Tamisemi ina sawiri uhalisia kutokana na wahitimu wa vyuo mwaka jana.

Naomba kuwasilisha.

Chanzo : necta na Nacte
 
Back
Top Bottom