Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo waalim mtasubir sana ajira bado...
Mwaka huu kiukweli unawahitim wachache diproma elf 4 na kidogo cheti elf 10 na kidoga shahada haijapatikana idadi kwa ngaz 2 wamepungua walimu kama 8000 ivi kama mnakumbuka mwaka 2010 mfumo wa watu kukosa credit ulikua mkubwa wat wengi hawakwenda form five so may be inaweza kua na wahitimu wa shahada vilevile wamepungua
Mimi naona wengi au wote watapata. Kwa sababu mwakajana wale wa cheti walikuwa elfu 17 lakini mwaka huu wapo 11 (yawezekana ndiyo idadi ya waliohotimu)
Kwa wale wa diploma mwaka jana walikuwa elfu 5 ila mwaka huu ni elfu 6
Na wa degree mwakajana walikuwa elfu 12 na mwaka huu ni elfu 12 as well. Hapa ukitoa na wale waliokuwa wanajiendeleza ambao wanaweza kuwa elfu moja na zaidi wanaobaki wote ni ajira mpya nadhani wengi watapata kama sio wote
bora nizibe pua maana naweza kuangamia na hii hewa chafu kulikoni
Hujalikwa kutoa coment hutak acha
Bila shaka wewe ni nastic boy ....we endelea kumbwelambwela wenzako wanakula ajira we unakula bange
Acha ujinga ni nini hapo nilichoandika haujaelewa kuhusu hiyo nastic boy au ilimradi ukomenti tu uongeze idadi ya post zakokama ww ni mwalimu na wasiwasi na uwezo wako wa kuelewa.
Mawazo mazuri sana unafikiri kwa busara hongera keep it up.
Na kwel watuache timezsubr mnoTuache na ajira zetu
Mimi niliajiriwa 2008 na 2011 nikaacha kazi. Mshahara ukafutwa na pia nikaomba kituo kipya. Itakuaje wadau
Ulkua na malengo gani kuacha kazi ile hali hujaandaa kikamilifu kazi ambayo ultqka kuifanya baada ya kuacha ualimu??
''Acha kazi uone jinsi ilivo kazi kupata kazi''
Mungu akusaidie upate tena!!