Walimwengu uzandiki tuuache 😅

Walimwengu uzandiki tuuache 😅

Kivipi? Hiyo movement unavyoiona haifiki 20 ishasahaulika. Kuanzia siku 5 zijazo kila mtu kashasahau hii ishu
Mkuu.... watasahau walioivamia ila kuna watu wanamwaka mzima wakuishi nayo. Unadhani Niffer imempandisha kiasi gani
 
Mkuu.... watasahau walioivamia ila kuna watu wanamwaka mzima wakuishi nayo. Unadhani Niffer imempandisha kiasi gani
Kwqmba ataitumia kama cv kuuza biashara yake au
 
Back
Top Bottom