A
Wewe umewalegezea halafu hukutaka tu kuishi nao vizuri 300 kwa ina ukubwa gani mzee ndio hela yake ya chai hio malipo ya posho kwa mwezi laki 20 sasa unategemea akale wapi zaidi ya kukaba abiria wasiokua na tiketi za makaratasi?Je, Serikali haitambui malipo ya ticket kwa njia ya Mtandao? Kwanini ukilipia ticket karatasi hawana shida? Au hawaamini mifumo yao?
Kutoka baada ya kufika na bus hakuna mtu ana habari na wewe hulipi hata 100boraa huko 300, magufuli terminal hapa kutokana na uhaba wa chenji bei imekua 500 au 1000 kutokna na upatikanaji wa chenji
Kwanini unampa abiria wajibu wa kulisha watu wa stendi asiowafahamu?? Hakuna kazi nyingine hao wanaokusanya hizo 300 wanaweza kufanya zaidi ya kulazimisha kupewa pesa za watu?Wewe umewalegezea halafu hukutaka tu kuishi nao vizuri 300 kwa ina ukubwa gani mzee ndio hela yake ya chai hio malipo ya posho kwa mwezi laki 20 sasa unategemea akale wapi zaidi ya kukaba abiria wasiokua na tiketi za makaratasi?
magufuli tunalipa muda wa kuingia --- hapo msamvu kuna siku mtu alikuja kunipokea wakati tunatoka mimi nilioneha tiketi na yeye alionesha tiketi waliompa alivyoingia stendi. hii iliokua miaka kadhaa nyuma.Kutoka baada ya kufika na bus hakuna mtu ana habari na wewe hulipi hata 100
Waelezee vizuri wahusika wanaowasimamia hao walinzi mimi nimeelezea uhalisia tuKwanini unampa abiria wajibu wa kulisha watu wa stendi asiowafahamu?? Hakuna kazi nyingine hao wanaokusanya hizo 300 wanaweza kufanya zaidi ya kulazimisha kupewa pesa za watu?
Halafu kwanza ishu sio 300, hata ingekuwa 100 bado watu wana wajibu wa kuhoji upuuzi.
We ni boya ndiomaana unabariki ufala.....utapigwa sana kondoo wa dizaini yakoWewe umewalegezea halafu hukutaka tu kuishi nao vizuri 300 kwa ina ukubwa gani mzee ndio hela yake ya chai hio malipo ya posho kwa mwezi laki 20 sasa unategemea akale wapi zaidi ya kukaba abiria wasiokua na tiketi za makaratasi?
Ndiomagufuli tunalipa muda wa kuingia
Nimesema hivi hao walinzi hawalipwi 350k wanalipwa laki 20 unielewe hapo kwanza ndio uje na makombolelo yakoWe ni boya ndiomaana unabariki ufala.....utapigwa sana kondoo wa dizaini yako
Hakuna uhalisia kulegezea kila mtu anayetaka kuchukua pesa za watu wengine kiholela tu na kuleta usumbufu kwa kigezo cha kwamba "atakula wapi" asipochukua hizo pesa.Waelezee vizuri wahusika wanaowasimamia hao walinzi mimi nimeelezea uhalisia tu
Ndio nikasema hivi kosa sio la huyo mlinzi kosa ni waliomuweka huyo mlinzi, unanielewa sijui vizuri hapo watafutwe wahusika watoe maelezo imekuaje mlinzi huyo anafanya hivyo, ushaelewa hapo Magufuli kuingia uwe na ticket au huna ticket lazima ulipie card ya kuingia sio bure unalipa una ticket huna ticket unalipa ndio unapewa card uingie, kutoka hulipi ni bure, sasa hapo watafutwe wahusika watoe maelezo, uwe unaelewa mimi sio muhusika wa hio stendi kwa hio usinibananishe as if mimi ndio muhusika mkuu wa stendi ya Msamvu MorogoroHakuna uhalisia kulegezea kila mtu anayetaka kuchukua pesa za watu wengine kiholela tu na kuleta usumbufu kwa kigezo cha kwamba "atakula wapi" asipochukua hizo pesa.
Tatizo sio pesa ila ni usumbufu wa kishenzi, kama ni shida ya fedha si angeomba kiungwana tuWewe umewalegezea halafu hukutaka tu kuishi nao vizuri 300 kwa ina ukubwa gani mzee ndio hela yake ya chai hio malipo ya posho kwa mwezi laki 20 sasa unategemea akale wapi zaidi ya kukaba abiria wasiokua na tiketi za makaratasi?
Upo sahihi kabisa mkuu, ila hapo wa kuhojiwa ni Muhusika Mkuu alieweka hao Walinzi atoe maelezo yaliyoshiba kwanini hao walinzi wanafanya hivyo, nilichoeleza mimi ni assumption tu sina maana kwamba ndio ipo hivyo, unielewe hapo mkuuTatizo sio pesa ila ni usumbufu wa kishenzi, kama ni shida ya fedha si angeomba kiungwana tu