KERO Responded Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

KERO Responded Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking.

Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa.

Ni uonevu mkubwa sana hilo suala likiendelea hivi kunaweza kutokea matatzo na ukianza kuhoji wanakupeleka kituo cha polisi wanakufungia.

Pia soma:
~
Halmashauri ya Jiji la Dar yasitisha ada ya maegesho Mjini
~ Halmashauri ya Jiji Dar: Hatukamati Wanaoshusha au kupakia abiria bali wanaoegesha kabisa
 
Sogea hapo Lumumba ukawaambie hao wauwaji na Wala rushwa wa ccm
 
Ni uonevu mkubwa sana hilo suala likiendelea hivi kunaweza kutokea matatzo na ukianza kuhoji wanakupeleka kituo cha polisi wanakufungia.
Mawe hayauzwi Mzee fanya tukio moja tukuone ukizungumziwa kwenye media ili utoe funzo kwa wengine
 
Back
Top Bottom