Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking.
Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa.
Ni uonevu mkubwa sana hilo suala likiendelea hivi kunaweza kutokea matatzo na ukianza kuhoji wanakupeleka kituo cha polisi wanakufungia.