MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Mimi nilidhani malengo makuu ya CHADEMA ni kushika dola, sikujua kama malengo yao makuu ni ''moto uleule''!Hata mimi mlinzi wangu sasa hivi ameajiriwa na mtu mwingine na maisha yanaendelea.
Kama Lowassa ametoka CDM na bado moto ni ule ule ndio itakuwa body guard?
Mkuu tatizo sio kwamba mambo yanaendelea, tatizo ni kwann wanaondoka tena wengine hata bila kufukuzwa uanachama, hauoni hiyo Kama ni kasoro kubwa sana?Hata mimi mlinzi wangu sasa hivi ameajiriwa na mtu mwingine na maisha yanaendelea.
Kama Lowassa ametoka CDM na bado moto ni ule ule ndio itakuwa body guard?
Hata mimi mlinzi wangu sasa hivi ameajiriwa na mtu mwingine na maisha yanaendelea.
Kama Lowassa ametoka CDM na bado moto ni ule ule ndio itakuwa body guard?
Mtu mwenye akili timamu akisoma ulichokiandika atajua hujui ulichokiandika au huijui CCM!Kitu ambacho hujakielewa ni kuwa tofauti na miaka yote, mwaka huu majimboni kuna wagombea wa CCM ambao ni Chadema B yani mwaka huu kuna mgombea wa Chadema na Chadema B. Sasa Jiulize kwanini waliitangulia wote hawakufanya hivi ila Magufuli amefanya. Ni kuwa hana tena uongozi wa kimfumo. Ni dilema.
Sasa unashangaa mlinzi wa Mbowe kuingia kugombea? Tuna mpaka wanausalama wa ndani kabisa huko na wanatupatia mipango yote ovu. Yapo majimbo mawili Dar ambayo msimamizi wa uchaguzi ni mtumishi tukuka ndani ya Chadema. Mbona safari hii mnalo. Nyie wanaccm mumeachwa huku mitandanoni pigeni makelele wee ila mpo mfukoni kama simu zetu. Tunawatoa huko tunawaperuzi then tunawarusisheni humo. Keshokutwa Lissu pia hamtamuona Kisutu na mtatulia tuliiiii!
Itafika lini hata hiyo halftime achilia mbali kufika full-time![emoji45]ligi haijafika halftime
Angalia video!Weka majina hatutaki umbea hapa
Tunaambiwa wakili Robert Amsterdam atawasaidia kupata ushindi!Mwaka ambao mtaanguka kwa aibu basi mwaka huu unawahusu.
KURA ZA HURUMA si sehemu ya DEMOKRASIA.
Aliyopo mbaya ila anaeomba ni mpuuzi mdomo wake ni kibali tosha kama kioo.
Nadhani hoja yako haina uhusiano wowote na mada!Kwani ni ajabu?
Hata aliyeongoza kura za maoni CCM na mbunge aliyemaliza muda wake jimbo la Nachingwea, Mh. Hassan Elias Masala amehamia ACT na amewekwa kizuizini na Policcm ili asichukue fomu ya kugimbea ubunge kupitia chama chake kipya cha ACT.
Ni kweli kura za huruma wala wizi hautakuwepo mwaka huu.Mwaka ambao mtaanguka kwa aibu basi mwaka huu unawahusu.
KURA ZA HURUMA si sehemu ya DEMOKRASIA.
Aliyopo mbaya ila anaeomba ni mpuuzi mdomo wake ni kibali tosha kama kioo.
Kitu ambacho hujakielewa ni kuwa tofauti na miaka yote, mwaka huu majimboni kuna wagombea wa CCM ambao ni Chadema B yani mwaka huu kuna mgombea wa Chadema na Chadema B. Sasa Jiulize kwanini waliitangulia wote hawakufanya hivi ila Magufuli amefanya. Ni kuwa hana tena uongozi wa kimfumo. Ni dilema.
Sasa unashangaa mlinzi wa Mbowe kuingia kugombea? Tuna mpaka wanausalama wa ndani kabisa huko na wanatupatia mipango yote ovu. Yapo majimbo mawili Dar ambayo msimamizi wa uchaguzi ni mtumishi tukuka ndani ya Chadema. Mbona safari hii mnalo. Nyie wanaccm mumeachwa huku mitandanoni pigeni makelele wee ila mpo mfukoni kama simu zetu. Tunawatoa huko tunawaperuzi then tunawarusisheni humo. Keshokutwa Lissu pia hamtamuona Kisutu na mtatulia tuliiiii!
Sawa! Uwe na siku njemaMtu mwenye akili timamu akisoma ulichokiandika atajua hujui ulichokiandika au huijui CCM!
Kinachofurahisha zaidi unajipa uongozi ndani ya CHADEMA wakati ni mpiga kelele tu na mwokota vihabari kwenye mitandao na kuvileta hapa Jamiiforums !
Nilipoandika, '' Kuna ''wajinga'' fulani wanadhani siasa za uanaharakati Tanzania zinaweza kuwawezesha kuchukua dola'' nilijua wapo hata hapa Jamiiforums!Unashangaa kuhama mlinzi ambaye ni muajiriwa tu wakati kaondoka Katibu Mkuu mwenye siri zote za chama kaenda kuunga mkono juhudi na wala haikua kitu. Ni kama Senzo tu alivyoenda Yanga, sawa kuna viji siri atapeleka lakini sio mwisho wa dunia kwa Simba
Nawe pia!Sawa! Uwe na siku njema