MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
- Thread starter
-
- #21
Utakuwa mjinga au mpumbavu kuingia mkataba na kampuni ya ulinzi bila kufanya uhakiki (vetting) achilia mbali kwa mwanasiasa tena Mwenyekiti wa chama ''kikuu'' cha upinzani nchini!Ulinzi ni ajira yenye kikomo cha mkataba...na siku hizi unaingia mkataba na kampuni sio na mtu
Sina huo muda mchafuAngalia video!
[emoji45]ligi haijafika halftime
Duh.. Kujifariji kwingine jamani!Kitu ambacho hujakielewa ni kuwa tofauti na miaka yote, mwaka huu majimboni kuna wagombea wa CCM ambao ni Chadema B yani mwaka huu kuna mgombea wa Chadema na Chadema B. Sasa Jiulize kwanini waliitangulia wote hawakufanya hivi ila Magufuli amefanya. Ni kuwa hana tena uongozi wa kimfumo. Ni dilema.
Sasa unashangaa mlinzi wa Mbowe kuingia kugombea? Tuna mpaka wanausalama wa ndani kabisa huko na wanatupatia mipango yote ovu. Yapo majimbo mawili Dar ambayo msimamizi wa uchaguzi ni mtumishi tukuka ndani ya Chadema. Mbona safari hii mnalo. Nyie wanaccm mumeachwa huku mitandanoni pigeni makelele wee ila mpo mfukoni kama simu zetu. Tunawatoa huko tunawaperuzi then tunawarusisheni humo. Keshokutwa Lissu pia hamtamuona Kisutu na mtatulia tuliiiii!
Huku Ccm na ulinzi wao wote mara paap Mangula kapigwa sumu.Kamati Kuu ya Chadema ilijifungia Wiki nzima kumtafuta Mrithi wa John Heche kwny Uenyekiti wa Bavicha Taifa wakaishia kumchagua Patrobas Katambi ( Afisa Kipenyo) hahaha na wakawafyeka wale Chadema Itikadi wafia Chama kwa maneno ya kejeli eti Mamluki kumbe wamechagua Membe jr!
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Huku Ccm na ulinzi wao wote mara paap Mangula kapigwa sumu.
Sijui hata iliwezekana vipi aisee.
Kwani mlinzi wa Mbowe ndiyo angefanikisha lengo la CHADEMA la kuchukua dola ?Mimi nilidhani malengo makuu ya CHADEMA ni kushika dola, sikujua kama malengo yao makuu ni ''moto uleule''!
Usiweke mada mezani ukiwa na majibu yako tayari kichwaniUtakuwa mjinga au mpumbavu kuingia mkataba na kampuni ya ulinzi bila kufanya uhakiki (vetting) achilia mbali kwa mwanasiasa tena Mwenyekiti wa chama ''kikuu'' cha upinzani nchini!
Usijidanganywe WALA UsijidanganyeKURA ZA HURUMA si sehemu ya DEMOKRASIA.
Hata Lijualikali naeMchukueni na msafisha vyoo wake. Maana inaonekana kila aliyewahi kuwa karibu na mbowe ni dili huko magambani