Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
- Thread starter
-
- #21
Tafuta kitabu hicho pia Mkuu uongeze silaha kwenye arsenal yako.Hii kweli ni logic. Na mapinduzi tayari tunayaona kupitia hizi huduma za lipa namba/lipa mwa simu
sasa ivi mtu anaweza kufungua Account ya benk popote alipo kupitia website.. Hii inapunguza gharama ya usafiri, Muda, makaratasi nk..
Noma... Inaonyesha kabisa banks zitapunguza kwa asilimia kubwa uendeshaji wake physically . Mtu hajalipa mkopo maafisa waanze kufatilia kiwanja kilipo, wakipige mnada ndo pesa ipatikane it consume a lot of time and resources.
Tupo pamoja Kaka Emily MagnusLight Saber Imetosha Sasa barikiwa sana.
Kuna madini nimebugia hapa kwenye andiko, bila shaka yatashaidia kujenga afya ya maisha yangu.
Barikiwa sana ndugu.
Ntakitafuta mkuu.. inaoneka kina madini sanaTafuta kitabu hicho pia Mkuu uongeze silaha kwenye arsenal yako.